BodaBoda wamepunguziwa adhabu ya Trafiki, wanakutana nayo kwenye LUKU

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,391
9,665
Nimesikitika kidogo hapa. Naamini wabunge watatupambania. Kama LUKU zitakuwa na Kodi ya Majengo basi ghalama za Maisha zitapanda mara dufu.

Kinyozi lazima apandishe bei, wauza vinywa vya baridi, Wachomelea vyuma n.k. Kubwa ni pale ambapo LUKU emebebeshwa zigo la Kodi ya Nyumba. Kuanzia mpangaji analipa kodi. Sipati picha kwa tunao share LUKU moja.

Bodaboda walifurahi kupunguziwa fine za traffic ila watapambana kwenye LUKU.
 
Back
Top Bottom