Bungeni: Bajeti Kuu ya Serikali Mwaka wa Fedha 2021/22

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,861
Bajeti ni makadirio ya mapato na matumizi ya serikali

Leo Bungeni Dodoma, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuisoma bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2021/22

photo_2021-06-10_08-13-11.jpg
 
Hiyo bajeti kama ingekuwa inatekelezeka kwa 100% hii nchi ingekuwa mbali sana kimaendeleo, tatizo tunawategemea wahisani matokeo yake wasipotoa ngoma inalala, tunajua tu kuisoma kwa mbwembwe nothing else.
 
As long as Tax base ni ndogo, hakuna ubunifu ktk ukusanyaji kodi, matumizi mabaya ya pesa za uma, mikopo isiyokua na tija, utekelezaji wa miradi kwa kasi ya kinyonga, vipaombele visivyokua na tija bajeti haiwezi kuleta matokeo chanya ht siku moja.
 
Msitegemee jipya zaidi ya kodi za kukamuana na kuongeza ukubwa wa budget(makadirio), budget ambazo kila mwaka hawafikii malengo kwenye makusanyo...
Mkuu Salary Slip katika ubora wako wa kunyooshea kidole CCM na Serikali yake wakati vilivyobaki vinasuta Chama ambacho unashabikia. Ili ujitokeze mwenye fikra pevu angalau uwe unatoa mapendekezo yako, km maeneo mengine ya kukusanya kodi.

Nachelea kuwa na mtazamo kama wako nikitoa mifano ya mapungufu makubwa ya kiSera ya hicho chama chako na mienendo ya viongozi wake
 
Nimewahi leta mapendekezo mengi tu kupitia hapa JF hivyo usidhani sijawahi shauri.

Mifano ni hii:

Vile vile wapinzani Bungeni na nje ya Bunge wamekuwa walishauri mara nyingi tu jinsi serikali inayoweza kuongeza mapato ila serikali ni wagumu kushaurika.
 
sema wese linazidi kupanda na mambo hayajawa kama tunavotarajia japo tuko na amani ,
 
Msitegemee jipya zaidi ya kodi za kukamuana na kuongeza ukubwa wa budget(makadirio), budget ambazo kila mwaka hawafikii malengo kwenye makusanyo.

Hawabuni wala hawatengenezi vyanzo vipya zaidi ya kucheza na vyanzo vile vile miaka yote( pombe, kodi za bandarimi, n.k).

Ubunifu wa miradi mipya hauendani na ongezeko la vyanzo vya mapato matokeo yake budget hazitekelezeki.

CCM imefeli sana katika swala zima la ubunifu wa vyanzo vya mapato.

Safari hii covid ndio itakuwa wimbo kwenye hii budget na kulalamika wahisani kutotekeleza ahadi zao.
Nchi hii ni yetu sote. Ni jukumu letu kuhakikisha inaendelea na tunapata maendeo. Tunapaswa kueleze au kuonesha hivyo vyanzo vipya vya mapato ili basi tuendelee. Kuponda, kukejeli, matusi na kukatishana tamaa kwa nchi yako ni ujinga.
Wewe ni mpumbavu.
 
As long as Tax base ni ndogo, hakuna ubunifu ktk ukusanyaji kodi, matumizi mabaya ya pesa za uma, mikopo isiyokua na tija, utekelezaji wa miradi kwa kasi ya kinyonga, vipaombele visivyokua na tija bajeti haiwezi kuleta matokeo chanya ht siku moja.
Budget isiyo kuwa na mvuto hata kidogo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom