Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,210
- 42,072
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara mkoani Mwanza kuanzia Juni 13 hadi 15 mwaka huu. Pamoja na mambo mengine katika ziara hiyo atazindua jengo la Benki Kuu yq Tanzania (BOT), kukagua ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi linalogharimu TZS bilioni 700 na kizundua mradi wa maji wilayani Misungwi.
Hii ni ziara ya kwanza ya Rais Samia toka aapishwe kuwa Rais...
Ikumbukwe kwamba mkoa wa mwanza ni ngome kuu ya CCM.Bila kusahau kanda ya ziwa ndio ina kula nyingi za mshindi wa Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania..