Serikali yawaonya wanaozusha vifo vya viongozi

Serikali yawaonya wanaozusha vifo vya viongozi

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Serikali haijakaa kimya juu ya wahalifu wanaokashifu, kuzusha uongo na kuleta taharuki katika jamii ikiwemo uzushi wa taarifa za vifo vya viongozi. Wahusika watapatikana na hatua za kisheria zitachukuliwa. Watanzania tulieni na endeleeni kuchapa kazi. Gerson Msigwa MMS

1623401903082.png
 
Naunga mkono hoja maana Sio Jambo la Busara kabisa kumzushia mtu kifo hata Kama c kiongozi!
 
Mbona wakati Msiba anabwabwaja hawakumkamata;sasa ni zamu yao kuzushiwa tuhuma za kumuua yule sadist muovu wa Chato
 
Back
Top Bottom