Ndugu Waziri,
Takwimu zinaonyesha kuwa katika mambo yanayochangia pato kubwa la nchi yetu ni utalii. Kwa hiyo hii ni sekta inayopaswa kuchukuliwa serious sana na kuwekeza kwa nguvu zote ili pato...
Kutokana na kulifanya bunge kuwa stamp rubber ya serikali wakati wa Magufuli, naomba wabunge bila uoga waanzishe huo mchakato wa kumumpeach spika Ndugai maana ni amekuwa spika dhaifa tangu...
Bila shaka wote tunaweza kukubali kuwa CCM ni chama kikongwe duniani na kilichokaa muda mrefu madarakani.
Haya yote hayafanyiki kwa bahati mbaya, Bali ni kutokana na hadhina kubwa ya viongozi...
Nimekuwa nikimsikia tu Padre Baptist Mapunda.Leo nimeenda kanisani kwangu misa ya kwanza nikamkuta Padre mpya.Akajitambulisha anaitwa Baptist Mapunda Tunda la Kanisa.
Mahubiri yake:
*Amesema...
Hizi mbwembwe za awamu ya sita zipo kasi sana, anyway, yetu macho na masikio.
===
"Watumishi wote waliosimamishwa kazi na mashauri yao yamechukua muda mrefu waandike barua kwa Katibu Mkuu...
HIZI NDIZO SABABU KUU MBILI ZINAZO SABABISHA UMASIKINI TANZANIA NA AFRIKA KWA UJUMLA
1:UDHAIFU WA ELIMU YETU. Elimu yetu haijitosherezi wala haiendani na dunia tuliyo nayo leo tofauti na mataifa...
Vyuo vikuu kunakuwaga na matawi ya vyama vya siasa kama vile CCM na CHADEMA na ndio sehemu ambazo wanasiasa wachanga wanapatikana. Je, wanadiplomasia wachanga wanapatikana wapi kwa maana...
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla amempongeza Rais Samia kwa kazi Nzuri anayoifanya ikiwemo tukio alilofanya leo kuendelea kuboresha huduma za Afya.
Makalla amemuhakikishia Rais Samia, yeye kama...
Kutokana na hotuba yake ya jana kutu kera sana wana mbeya tunamuomba sana huyo rc atuombe radhi maana maneno aliyo yatamka hadharani kuwa wakosoaji woote wa serikali inabidi wapigwe viboko na...
Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa, Luteni Josephine Mwambashi amekataa kuweka Jiwe la Msingi kwenye Kituo cha Afya kilichopo wilayani Hai kwa madai kuwa ujenzi wa kituo hicho umegubikwa na...
Hili ndilo Tamko jipya la Chama hicho lililotolewa na Mwenyekiti wake Mwamba Freeman Mbowe akiwa kwenye mpango wa OPERESHENI HAKI inayoendelea mkoani Morogoro, lengo la Mkakati huu ni kuongeza...
Tumemaliza vyuo wazazi wamejitahidi wamekomaa kutusomesha lakini Sasa kimya mwaka karibia wa saba tunazidi kuzeeka mtaani, tujadili hili tukiwa Kama wasomi tutumie mbinu gani ili Serikali ituajiri...
Wakati maeneo mengi nchini wakiendelea kufaidi matunda ya kinachoitwa Elimu Bure/Elimu bila Ada, huko mkoani Singida Wilayani Ikungi kata ya Choda, Shule ya msingi Choda wanafunzi wanataabika kwa...
Hivi bajeti aliyosoma Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ni final au ipo subject to changes kulingana na Bunge litakavoijadili na je, kuna chance kuwa inaweza kubadilishwa?
Katika awamu ya tano kuna vijana viongozi waliotia fora kutumia madaraka vibaya.
Mama Samia amewakonga mioyo watanzania kwa kumuondoa Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai, aliyetia fora kwa kuongoza...
Katika ujenzi wa uchumi, ili uweze kufanikiwa na kusonga mbele kwa haraka ni lazima uzitambue:
Sekta wezeshi
Sekta muhimu
Sekta kipaumbele
Ukikosa uelewa huo, unaweza ukawa unapanga mipango...
Hili suala la wabunge wa Viti Maalum Chadema lina sarakasi nyingi, ila yaelekea ni Mdee pekee mwenye maelezo halisi. Pitia mahojiano
haya.
===
The rest sijui kilichotokea na kilichoendelea,”...
Anayoyafanya Rais Samia ni kupangua na sio kupanga safu mpya, inasemwa ni maji ya futi kwa nyayo, kuna viongozi waljijibebea umaarufu sio kwa uongozi bora bali kwa uongozi uliojaa magube na usio...
Kwa miaka zaidi ya sita Intelligence ya Polisi ilikuwa ikipokea taarifa za kiusalama zilizoonyesha viashiria vya uvunjifu wa amani kwenye Mikutano ya Chadema na vyama vingine vya siasa na hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.