Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Serikali iliyotolewa tarehe 05 June, 2021 imebainisha kwamba Rais wa JMT amepokea tayari taarifa mbili kutoka katika Kamati aliyoiunda kwa ajili ya kufuatilia na...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwa ufupi tu leo CNN wameonyesha picha na kuwahoji madaktari nchini Uganda. Watu wanateketea na picha zinaonyeshwa. Jamani inahuzunisha sana. Wizara ya Afya ichukue tahadhari. Mikusanyiko ya...
11 Reactions
93 Replies
8K Views
Monday, July 8, 2013 MUSTAFA SONGAMBELE DAR ES SALAAM, Tanzania Muasisi wa TANU Mustafa Mohammed Songambele amesema aliwahi kunusrika kufungwa kwa sababu ya kumchesha rais, Mwalimu Julius...
3 Reactions
77 Replies
19K Views
Kuna video ianzunguka mitandaoni kimuonesha Rais Samia akiongea na rais wa AFDB lakini wasidizi wa Rais waliona warekodi maongezi yale lakini binafsi mimi sikuona mantiki yeyote ya kurekodi...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Mimi naamini kabisa ndani ya moyo wako wewe ni mtu mzuri. Una sense of humor ambayo bahati mbaya wengine hawaielewi. Naamini kilichokukuta safari hii ni watu wamekupiga fitna hasa wale...
21 Reactions
110 Replies
10K Views
Fikiria kuwa na katiba ambayo inampa madaraka mwenyekiti kufanya chama kama mali yake. Anafanya madudu hata kiasi cha kupiga madili na kumpa Lowassa gap la kugombea. Anakaa madarakani mpaka...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma. Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa? Ngoja tuone. Maendeleo hayana vyama!
9 Reactions
158 Replies
23K Views
Na mwandishi wetu Tanga. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa rai kwa baadhi ya vyama vya siasa nchini kujitathimini ili viweze kufanya Siasa ya kisayansi na kuacha tabia yao ya kufanya siasa za...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Anaandika Wakili msomi Jonh Mallya, Ni usiku wa manane. Lengai Ole Sabaya amelaza kichogo chake kwenye kiganja. Mwili wake ameulaza juu ya sakafu baridi akitazama dari la chumba cha mahabusu...
16 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna maneno yanayosemekana yametamkwa na mkuu wa nchi ya kwamba yeye hataki kuona wananchi wamebeba mabango. Swali langu ni kwanini hataki wananchi wafikishe ujumbe kwa njia ya mabango? Je wote...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Kabla ya Rais mama hajagusa teuzi wapo baadhi yetu humu walileta nyuzi kutaka watu tuone katika viongozi wanaofaa kuteuliwa na Mama yetu (watakaomfaa) Jina Mwigulu halikukosa kwa kila uzi ulitaka...
7 Reactions
49 Replies
4K Views
Nimeona wengi wakipiga miluzi kuhusu Kodi zilizoongezwa hasa kwenye Luku, miamala ya simu, kadi za simu na kwenye mafuta (petrol na diesel). Ilikuwa bado kidogo tu na Mimi niingie mtego wa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe alipokuwa anahitimisha mpango wa Operesheni Haki Mkoani Morogoro. Mbowe ambaye sasa anaitwa Mtemi Isike, baada ya kusimikwa huko...
26 Reactions
132 Replies
10K Views
Wakati wa Utawala wa Magufuli ilikuwa ni kawaida kuyasikia TBC wakimtangaza Mtawala Muda wote Alipo na kutoisikia TBC ikitangaza habari na matukio ya vyama vya Upinzani Watanzania. Hatukushangaa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa kumbukumbu zangu, katika barua yake kwa wizara, idara na taasisi za serikali, Katibu Mkuu Utumishi aliwagiza wahusika kuwa ifikapo June 10 mwaka huu, wawe wamewassilisha serikalini orodha ya...
6 Reactions
42 Replies
8K Views
Kwa ongezeko hilo la kodi la Tsh. 100 kwa kila lita moja ya Mafuta ya Petroli na Dizeli tutarajia maisha hasa ya wanyonge yatakuwa magumu sana. Waziri mwenyewe wa fedha analitambua hilo na ndiyo...
4 Reactions
97 Replies
53K Views
Wajumbe wa Jimbo la konde wamepitisha jina la Shekha Mpemba Fakhi kwa kura 17 kuwania kiti cha ubunge kupitia Jimbo hilo kwa tiketi ya CCM na kuwazidi wapinzani wake wote 11. Nafasi hiyo imebaki...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mhe. Rais amepewa nguvu na Katiba kuteua au kutengua uteuzi wa yeyote aliyemteua na wakati anouona unafaa. Kutenguliwa kwa Ndugu Chalamila binafsi haukuwa wakati muafaka. Mhe. Rais kama...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Kuna maneno yanayosemekana yametamkwa na mkuu wa nchi ya kwamba yeye hataki kuona wananchi wamebeba mabango. Swali langu ni kwanini hataki wananchi wafikishe ujumbe kwa njia ya mabango? Je wote...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom