Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,318
Kutokana na hotuba yake ya jana kutu kera sana wana mbeya tunamuomba sana huyo rc atuombe radhi maana maneno aliyo yatamka hadharani kuwa wakosoaji woote wa serikali inabidi wapigwe viboko na kuwachoma sindano ili wawe vichaa imetukera sana.
Kwa wana Mbeya hiyo lugha iliyo tumiwa na rc ni ngeni sana na inatuchafulia utamaduni wetu wa kistaarabu tulio uzoea.
Kwa wana Mbeya hiyo lugha iliyo tumiwa na rc ni ngeni sana na inatuchafulia utamaduni wetu wa kistaarabu tulio uzoea.