ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,554
- 44,725
Tumemaliza vyuo wazazi wamejitahidi wamekomaa kutusomesha lakini Sasa kimya mwaka karibia wa saba tunazidi kuzeeka mtaani, tujadili hili tukiwa Kama wasomi tutumie mbinu gani ili Serikali ituajiri na sisi tufurahie matunda ya Nchi yetu tufike mahali pazuri Kama wait walivyofika baada ya kupewa nafasi.
Tuorodheshe hatua za kuchukua maana viongozi wetu naona hawako serious kupunguza tatizo la uhaba wa watumishi.maana ni heri tungeajiriwa hata kama ni mishahara kiduchu tungeridhika kupata uzoefu.ishu Hapa Ni tufanye Nini tupeane mbinu maisha yenyewe mafupi haya.
1.mwenye undugu na rais tunamtuma amkumbushe
2.tuandaeni maandamano ya amani mtandaoni
3.tufanyeje leteni mbinu mbadala