Kiongozi atakayefanya mapinduzi sekta ya usafirishaji atatukuzwa na wananchi wengi

Kiume3000

Senior Member
May 17, 2021
180
218
Eneo lilikosahaulika hapa nchini ni usafirishaji. Hali ni duni kwa Watanzania wengi tumeendelea kuamini kumiliki daladala ili kupata kipato jambo ambalo sio bali kuwatesa wanyonge.

Eneo la usafirishaji wa umma (daladala, bodaboda, bajaji, taxi, meli na vivuko) kuna tatizo kubwa.

Kwa mfano, daladala raia wanabanana bila sababu. Uchumi wa kileo si wa kuacha vi-coaster na DCM zisababishe adha, balada yake mabasi makubwa yakiendeshwa kama kampuni kufanya kazi sehemu za miji mikubwa.
 
Back
Top Bottom