Nani aliruhusu watanzania kufanyiwa majaribio

Ni yule Mahita aliyekuwa mkuu wa Polisi ambaye alikuwa anatumika na CCM bila haya
 
Ukiona mtu anasifika na kutakaswa sana nchi hii wewe jaribu kufuatilia vizuri tu.

Narudia tena, ukiona mtu yeyote anasifika na kutakaswa kwa mambo kedekede basi wewe taratiibu fuatilia vizuri utagundua tu yaliyomo yamo.

Mfano wa watu hao ni katika
wanasiasa, viongozi wa dini, matajiri, wasanii, waigizaji, wakuu wa... nk
 
Kwani wewe Muandishi umo kwenye hao?
Hivi unataka upate dawa bila kushiriki kupatikana kwake?
Ikiwa hukufanyiwa majaribio wewe unadhani nani atumike kama si binadamu mwingine kama wewe?

Dawa ikionesha mafanikio mazuri ,basi hao waliotumika kwa majaribio watapata sifa kubwa sana.
Dawa ikifeli pia watasifiwa kwa kujitowa maisha yao kwa ajili ya wengine. Alimradi wapate posho nzuri tuu.
 
Back
Top Bottom