Tanganyika tunalipa Kodi mara 2 Zanzibar wanalipa Kodi mara 1

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,148
Reaction score
2,690
Ukinunua gari Zanzibar utalipa Kodi na ukifika Tanganyika utalipa tena kubwa tu, na sio gari tu fridge, TV, Simu n.k

Ni hivi ni rahisi kuingiza vitu Zanzibar kutoka nje hasa falme za Kiarabu lakini si rahisi kuvitoa Zanzibar kuviingiza bara.

Tuendeleee na mazungumzo au tuachane nayo?
 
Ndio ufahamu kuwa hizi ni nchi mbili zilizomo kwenye seti ya muungano au haujaenda shule na kusoma hesabu za seti. halafu wazenji waache wamekaa kama watoto wadogo ukiwagusa tu makelele kibao. Sasa ivi ata wakisema hawapati msikilizaji huko UN makalatasi yao yamewekwa ndani ya draws.
 
Ndio ufahamu kuwa hizi ni nchi mbili zilizomo kwenye seti ya muungano au haujaenda shule na kusoma hesabu za seti. halafu wazenji waache wamekaa kama watoto wadogo ukiwagusa tu makelele kibao.Sa ivi ata wakisema hawapati msikilizaji huko UN makalatasi yao yamewekwa ndani ya draws.
Hivi tumeungana nini hasa?
Kama tumeunganisha ardhi, mbona suala la ardhi sio la muungano?
Kama ni mamlaka, mbona kila nchi ina mamlaka yake?
Tumeungana nini?
 
Ndio ufahamu kuwa hizi ni nchi mbili zilizomo kwenye seti ya muungano au haujaenda shule na kusoma hesabu za seti. halafu wazenji waache wamekaa kama watoto wadogo ukiwagusa tu makelele kibao.Sa ivi ata wakisema hawapati msikilizaji huko UN makalatasi yao yamewekwa ndani ya draws.
Kwa uroho na tamaa ya serikali ya CCM ndio inasababisha kukatwa mikodi mara2, wanapokata kodi mara 2 inamaana inayoumia zaidi ni Zanzibar maana ni kama wanafukuza wateja na wanalazimisha watu wasinunue bidhaa Zanzibar.

Hata kiwanda cha maziwa cha baharesa wameforce kihamishwe kiwekwe bara but baharesa kakataa kwa sababu bara kuna viwanda vingi but zenji hakuna so kuwekwa znj hicho kiwanda pia kuna watu imewauma yaani hawataki kabisa.
 
Serekali ya SMT ina roho mbaya sana kwa Zanzibar, wengi wa wabara hawafahmu mambo yanayofanywa na serekali yao kwa Zanzibar
 
Back
Top Bottom