Je inawezekana kuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kupigiwa kura badala ya kuchaguliwa na Raisi?

amanij

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
312
168
Nime towa wazo hilo ili utendaji una weza kuwa mzuri.

Kwanza nataka kujuwa hawa wakuu wamikowa na wakuu wawilaya wana ingia wapi katika serikali

Kuna madiwani ambawo huchaguliwa na watu hawa huingia wapi?

Kuna mayor ambaye huchaguliwa na wajumbe lakini ( bora ingekuwa mayor anachaguliwa na watu.)

Mawazo yangu ni kuwa wakuu wamikowa na wilaya hawa wangekuwa watu wanao toka huko huko kwenye mikowa na wilaya. Yaani mtu awe kiongozi katika mkowa wake au wilaya yake anayo ishi.

Maana anatoka mtu mfano Mtwara anakuwa kiongozi Kagera.
Tabia, desturi na utamaduni tafauti .

Tanzania ina mikowa 31
wakuu wamikowa na wasaidizi wawo ni 62
Kuna wilaya 174; wakuu wawilaya na wasaidizi wawo 348

Wabunge wakuchaguliwa 264
vitimaalumu 113
Wabunge wa Raisi 10
wabunge BLW 5
AG 1
 
Nafasi za uwaziri
Makatibu wakuu
Spika na naibu wake
Wakuu wa mikoa
Wakuu wa wilaya
Ma RAS na Ma DAS
DEDs
Ziwe nafasi za kuomba badala ya kupigiwa kura
 
Back
Top Bottom