Itachukua miaka mingi mno kuja kuwapata ma Rais wa kariba ya Mkapa na Magufuli

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,242
Kwa hakika wazee wetu hao wamekufa na kamwe hatutawaona tena na huo ndiyo ukweli!

Lakini pamoja na vifo vyao ukweli ni kwamba kuja kumpata Rais mwenye maamuzi na asiye mwoga wa matendo na kufanya kama wale wazee si leo hakika.

BM & JPM walikuwa ni wazee wa kuamua na kutenda pasi kujali lolote liwalo ama baya ama jema wao walikuwa ni waamini wa kutenda na pia walionelea bora lawama kuliko fedheha.

Mungu awalaze mahali pema wazee wetu wale.
 
Tanzania ni nchi yenye bahati ya kupata marais wenye uchu wa kuleta maendeleo kwa nchi kuanzia nyerere mwinyi mkapa kikwete magufuli na sasa Samia wote wanaipenda hii nchi wanaweza kuwa na mapungufu kidogo lakini jibu ni wanaipenda hii nchi
 
Kuipenda nchi tu bila kuwa na maarifa ya kuindeleza kisasa ni kazi bure.
Tanzania ni nchi yenye bahati ya kupata marais wenye uchu wa kuleta maendeleo kwa nchi kuanzia nyerere mwinyi mkapa kikwete magufuli na sasa Samia wote wanaipenda hii nchi wanaweza kuwa na mapungufu kidogo lakini jibu ni wanaipenda hii nchi
 
Jambazi na muuaji huyo. Yule Kikwete alitukosea sana Watanzania kumuona yule dhalimu eti ndiye alistahili kutuongoza Watanzania. Mwenyezi Mungu fundi sana katuepusha na maovu mengi sana kuelekea 2025. Ahsante sana Mwenyezi Mungu 🙏🏾
Kwa hakika wazee wetu hao wamekufa na kamwe hatutawaona tena na huo ndiyo ukweli!

Lakini pamoja na vifo vyao ukweli ni kwamba kuja kumpata Rais mwenye maamuzi na asiye mwoga wa matendo na kufanya kama wale wazee si leo hakika.

BM & JPM walikuwa ni wazee wa kuamua na kutenda pasi kujali lolote liwalo ama baya ama jema wao walikuwa ni waamini wa kutenda na pia walionelea bora lawama kuliko fedheha.

Mungu awalaze mahali pema wazee wetu wale.
 
Kwa hakika wazee wetu hao wamekufa na kamwe hatutawaona tena na huo ndiyo ukweli!

Lakini pamoja na vifo vyao ukweli ni kwamba kuja kumpata Rais mwenye maamuzi na asiye mwoga wa matendo na kufanya kama wale wazee si leo hakika.

BM & JPM walikuwa ni wazee wa kuamua na kutenda pasi kujali lolote liwalo ama baya ama jema wao walikuwa ni waamini wa kutenda na pia walionelea bora lawama kuliko fedheha.

Mungu awalaze mahali pema wazee wetu wale.
Kwa dunia ya sasa viongozi wa namna hii Awana nafasi kwani karma tuu yenyewe haiwataki....
 
Mungu alitupa zawadi nzuri sana watanzania but ni yeye pia aliechukua zawadi zake pia
 
Alikuwa na mapenzi FAKE ya nchi. Aliye na mapenzi ya kweli kwa nchi hawezi kuwadhuru, kuwabambikia kesi, na kuwaua raia wasio na hatia.
kuna tofauti ya nchi na pimbi mmoja mmoja.

ndio maana ni heri uuwawe na utanzania wako,ila nchi ipone.

kuipenda nchi sio kupenda hata wahuni.
 
Jambazi na muuaji huyo. Yule Kikwete alitukosea sana Watanzania kumuona yule dhalimu eti ndiye alistahili kutuongoza Watanzania. Mwenyezi Mungu fundi sana katuepusha na maovu mengi sana kuelekea 2025. Ahsante sana Mwenyezi Mungu 🙏🏾
Huna akili wewe
 
Kila zama na kitabu chake
Goma halirudi nyuma linasonga mbele
Tuendelee kujiandaa Kisaikolojia gari limeshawaka
Mama ameshapewa nchi tutulie dawa ituingie sawasawa tupone
 
Kwa ufinyu wako wa akili.
Fiscal year 2016/2017 1.5 trillions ilipotea hazina. Fiscal year 2017/2018 1.2 trillions ilipotea hazina na hizi zote ziliripotiwa na CAG kwenye ripoti na akazuia uchunguzi huru. Ben Saanane, Azory na Watanzania wengi walipotea na wengine kuokotwa miili yao ufukweni mwa bahari akazuia uchunguzi huru. Shambulizi la Lissu aliloamuru na kusimamiwa na Bashite pia alizuia uchunguzi huru. Wapuuzi kama wewe ni tatizo kubwa nchini.
1624295091392.jpeg

Huna akili wewe
 
Jambazi na muuaji huyo. Yule Kikwete alitukosea sana Watanzania kumuona yule dhalimu eti ndiye alistahili kutuongoza Watanzania. Mwenyezi Mungu fundi sana katuepusha na maovu mengi sana kuelekea 2025. Ahsante sana Mwenyezi Mungu
Ni jambazi muuaji from your perspective, ni kiongozi bora from other folks perspective, kwa iyo usishupaze sana, ashakufa.
 
Back
Top Bottom