David Kafulila kuteuliwa kuwa DC baada ya kujiuzulu U-RAS ni uthibitisho kwamba nchi hii kuna watu hawatakiwi kuwa Jobless?

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,617
34,062
Hii imekaaje ?

Mtu anachaguliwa nafasi fulani, anafanya baada ya muda anajiuzulu kwenda kutafuta nafasi anayoitaka mwenyewe.

Cha kushangaza mtu huyo huyo teuzi nyingine zikifanyika unamuona kateuliwa tena. 🙄

Je, hakuna watu wengine au what's so special na hawa watu ?

Nadhani wakati wa kura za maoni ndani ya CCM mwaka 2024 tutegemee tena style hii hii.

Je, kwanini iko hivi ?
 
Kuna watu walipata "special permission" kuachia nafasi zao na kwenda kujaribu kwingine. Kafulila alikuwa RAS mara ya kwanza na mara ya pili alipewa URC.

What is so special? - well, anajua aliyewateua maana kuna sura nyingine kwenye huu mkeka wa uDC zimedhihirisha tu kile tunachokijua wote kwamba nafasi ya uDC haina umuhimu wowote kwenye maendeleo ya Nchi na inaweza kushikwa na hata wadangaji sugu
 
Kuna watu walipata "special permission" kuachia nafasi zao na kwenda kujaribu kwingine. Kafulila alikuwa RAS mara ya kwanza na mara ya pili alipewa URC.

What is so special? - well, anajua aliyewatua maana kuna sura nyingine kwenye huu mkeka wa uDC zimedhihirisha tu kile tunachokijua wote kwamba nafasi ya uDC haina umuhimu wowote kwenye maendeleo ya Nchi na inaweza kushikwa na hata wadangaji sugu
Vimeonekana ni vyeo vya hovyo kabisa
 
Nimeshangaa Uganda Bunge linafanya vetting teuzi za Rais.. nimeshangaa Sana..

Sisi tunashindwaje?
Uganda tunawazidi kwenye kubadilisha Rais tu. Wana demokrasia kuliko sisi.

Wanaruhusu mgombea binafsi na wanahoji matokeo ya urais mahakamani.

Hapa kwetu hivyo vitu vimeshindikana.
 
Nimeshangaa Uganda Bunge linafanya vetting teuzi za Rais.. nimeshangaa Sana..

Sisi tunashindwaje?
Ile nayo ni rubber stamping tu. Rais Museveni anachagua mke wake na wanapitisha tu, how comes first lady ageuke kuwa Waziri at the same time.

Ni sawa na mama Jumong amteue yule mumewe kuwa waziri 😃
 
Hii hali ya watu kuwa Recycled ndani ya CCM inanifikirisha sana! Kuna muda nawaza nguvu za kiganga hutumika kuwapumbaza wanaoteua!
mzee mimi siyo mpinzani wala sina chama cha siasa ila CCM wanazingua sana big time
 
CCM wengi ni limbukeni ndio maana wanaonekana hamnazo, ushabiki wa kijinga hata kwa mambo yenye maslahi kwa nchi...

Ukigeugeu unawaponza sana wanasiasa vijana... consistency is everything.. Kafulila anajua kufanya siasa za ki CCM and hope he will make it to the top...
 
Ile nayo ni rubber stamping tu. Rais Museveni anachagua mke wake na wanapitisha tu, how comes first lady ageuke kuwa Waziri at the same time.

Ni sawa na mama Jumong amteue yule mumewe kuwa waziri 😃

Still ina nafuu
Watakuwepo wakao ingia kwenye rekodi kukosoa
 
Back
Top Bottom