Rais Samia awaapisha Balozi Batilda kuwa RC Tabora na Zuwena Omari kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
3,794
2,000
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Balozi Batilda Salha Burian kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga.

Poisonous

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,478
2,000
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Balozi Batilda Salha Burian kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga.

Kwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
 
Lutandagula

JF-Expert Member
Apr 8, 2018
1,415
2,000
Full Barakoa, sio kama zile enzi za Ibilisi aliemaliza Wazee wetu.
Hope wewe ni malaika alietumwa na Mungu kuja kuhukumu watu hata walio wafu,na ni imani yangu utaishi milele hapa duniani,roho mbaya si mtaji utakaokupa ridhiki,kutukana au kumtukana mtu haikuongezei chochote,jijengee tabia ya kusahau au kusamehe hata kama mwanadamu kakukosea vipi hapa duniani kwani sisi si chochote wala lolote hapa duniani.
 
katitu

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,070
2,000
Inawezekana atakuwa Dodoma kwa majukumu mengine ya kiserikali.
dawa ni kuufyeka muungano hauna tija kabisa kwa karne hii mbali na kubebeshwa mamizigo tu ya wanzaribari.katiba ndo suluhisho la kila kitu na aliyevuruga katiba yetu allainisha milele yote.
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
49,062
2,000
Kwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
Matumizi mabaya ya fedha za umma
 
Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
14,737
2,000
Hope wewe ni malaika alietumwa na Mungu kuja kuhukumu watu hata walio wafu,na ni imani yangu utaishi milele hapa duniani,roho mbaya si mtaji utakaokupa ridhiki,kutukana au kumtukana mtu haikuongezei chochote,jijengee tabia ya kusahau au kusamehe hata kama mwanadamu kakukosea vipi hapa duniani kwani sisi si chochote wala lolote hapa duniani.
Wanasema mdomo huumba, bahati mbaya kutambua hivyo ni mpaka uwe na busara za kutosha.

Humu jukwaani utoto ni mwingi sana.
 
kina kirefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
3,624
2,000
Kwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
Yulemwingine kifafa kilikua kinampa kizunguzungu tofly from the sea level
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom