Morogoro: Watu 5 wapoteza maisha, wengine 24 wajeruhiwa katika ajali ya gari

Josh J

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
1,776
2,000
Wakuu, huko Morogoro wakwetu adv. Msando kaanza na simanzi, eneo la Oilcom ajari mbaya imetokea Coaster inatokea Dar ikiwa na abiria na lori la mizigo zimegongana uso kwa uso kwenye Coaster.

=====

Watu watano wamepoteza maisha na wengine 24 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi dogo la abiria Aina ya Coaster na Lori la mizigo katika eneo la Oil Com nanenane mjini Morogoro.

Capture.PNG
 
Apr 15, 2021
32
95
Daaaaah,inasikitishaa sanaaa, Mungu awarehemu wote waliofariki,

Morogoro yetu inasakamwa San na ajali, sijui tatizo ni nini
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
7,793
2,000
Ajali imehusisha magari matatu, Coaster, lorry, na gari dogo cresta, dereva wa Coaster inasemekana ndio amesababisha hiyo ajali kwa kujaribu kuyapita magari yaliyokuwa mbele yake bila kuchukua tahadhari, Coaster ilikuwa inasafirisha mwili wa marehemu toka Dar kwenda Mbeya kwa mazishi.
 
kelao

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
7,856
2,000
Ajali imehusisha magari matatu, Coaster, lorry, na gari dogo cresta, dereva wa Coaster inasemekana ndio amesababisha hiyo ajali kwa kujaribu kuyapita magari yaliyokuwa mbele yake bila kuchukua tahadhari, Coaster ilikuwa inasafirisha mwili wa marehemu toka Dar kwenda Mbeya kwa mazishi.
Duu, pole zao. Marehemu amekufa mara mbili
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom