mzenjiboy
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 907
- 383
TRA ni taasisi inayokusanya kodi nchi nzima ikiwemo Zanzibar, na Zanzibar nayo ina taasisi yake ya kukusanya kodi kwa Zanzibar ambayo ni ZRB.
Pesa zinazokusanywa na TRA kutoka Zanzibar hupakiwa kwenye boti ya mwisho inayoondoka Zanzibar na kupelekwa Tanganyika. Hii ikimaanisha ya kwamba makusanyo ya Zanzibar ni mali ya Tanganyika.
Ipo haja Zanzibar nao wafungue afisi za ZRB huko Tanganyika ili wakusanye kodi kwa ajili ya Zanzibar. Lengo langu ni kuwaamsha Baraza waone na kuanza kujadili suala hili.