Nini kifanyike ili kiwanda cha Kibo Match kifufuke?

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Katika product mbovu kutoka nchi ya Kenya ipo sokoni kwenye mzunguko kwa kiasi kikunwa basi ni Viberiti vyao vile vinaitwa Kasuku, aisee ni Product yenye quality mbovu sana!

Unaweza tumia njiti zake mda unawasha ile baruti ikapuputika, mara vinawaka kwa kuungua havitoi moto, mara kisiwake kabisa, kwakweli quality ilikua mbovu.

Nikawaza ubora wa viberiti vya Kibo kutoka moshi, vile viberiti vilikua vya quality ya juu mno, vilikua viberiti imara lakini kiwanda kile kilikufa.

Sidhani kama Invenstment ya kile kiwanda kinachukua. Matrillion ya fedha, nikawaza ni kwanini serikali inashindwa kabisa kukifufua kile kiwanda.
 
Aisee kinachoshangaza ni kuwa kipindi kifupi kilichopita hii brand ya viberiti vya kasuku ilikuwa ikitengenezwa Tanzania kupitia Alfa Match ltd, miaka miwili iliyopita nikashangaa naanza kuona viberiti vya kasuku hivi vya sasa toka Kenya vikiwa sawa kabisa na muonekano wa vile vya Tanzania. Sasa sijui kiwanda kilinunuliwa na hiyo kampuni ya Kenya.
 
Daah Kile kiberiti kineandikwa made in Kenya
 
Kingine, kibo match ilikufa zamani sana kabla hata hii kasuku ya Tanzania haijaanza ambapo kwa maoni yangu vilikuwa bora sana kuliko hata hivyo vya kibo.
 
Kweli ila nje ya mada kidogo kuna viberiti kutoka Kenya niliviona Holili vile viberiti njiti zake zipo kama karatasi gumu lililosokotwa aisee kile kiberiti ije mvua ije upepo wa aina gani kina waka tuu!! ningependa kuviona hivi viberiti made in Tanzania........
 
Yaani aiseee umenikumbusha hicho kiwanda cha Kibao Match .... kumbe kilikufa! Manake sie tuliopitia pale Moshi Tech, enzi hizo ndo kilikuwa jirani pale na shule.Kwa kweli viberiti vyake vilikuwa quality...sasa shida sijui ilitokea jamani, maana misitu na malighafi ya viberiti si imejaa bongo??.....kweli kazi iendelee.
Kweli ila nje ya mada kidogo kuna viberiti kutoka Kenya niliviona Holili vile viberiti njiti zake zipo kama karatasi gumu lililosokotwa aisee kile kiberiti ije mvua ije upepo wa aina gani kina waka tuu!! ningependa kuviona hivi viberiti made in Tanzania........
 
  • Thanks
Reactions: vvm

Similar Discussions

Back
Top Bottom