Nani hubuni kaulimbiu za Marais?

Nani hubuni kaulimbiu za Marais?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,087
Reaction score
61,456
Magufuli alikuja na Hapa kazi na Kisha mama Samia kaja na nawasalimu kwa jina la jamuhuri kazi iendelee..swali langu Ni je Kuna mtu maalumu hutunga haya maneno au ni utashi wa rais mwenyewe?
 
Kwa mzamo wangu mdogo binafsi hudhani kuwa kila muula wa uchaguzi mpya kwenye ilani ya chama ndio inapatikana kauli mbiu ni kama kipaumbele kwa wakati huo.

Kuhusu mama kuja na aina ya salamu nadhani ni utashi wake sina uhakika lakini.
 
Back
Top Bottom