Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tume huru ndio kila kitu. Itajenga Tanzania imara na itakayo ogopeka na kila mtu. Tanzania itarudi mikononi mwa wananchi. Uchaguzi ufanywe tume huru ndio iwe inaamua, kura itakua adhabu kwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Chama Cha Wanasheria Tanganyika kimetangaza kwenda mahakamani kesho ili kutafuta uwezekano wa kutafasiri sheria juu ya nini kinatakiwa kujadiliwa na bunge maalumu katika mchakato wa katiba mpya...
7 Reactions
55 Replies
8K Views
Warioba aiumbua CCM • Asema muswada uliopitishwa bungeni unalenga kuifuta tume yake na Irene Mark Tanzania Daima MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Dar/Dodoma. Rasimu ya Katiba inayopendekezwa iliyowasilishwa bungeni juzi, imeondoa Ibara 28 zikiwamo zinazowataka viongozi wa umma kutopokea zawadi kwa manufaa yao binafsi wala kufungua akaunti...
3 Reactions
62 Replies
13K Views
Kuanzia Jumatatu bila kuvaa barakoa stendi ya Magufuli hakuingiliki tena. Hata hivyo inashangaza kwanini kuwataka wenye mabasi kuwa na sanitizers kwa ajili ya abiria. Kama ilivyo kwa barakoa...
8 Reactions
63 Replies
5K Views
Ni wazi kuwa mtu kubeza kupatikana kwa katiba mpya ni matokeo ya kuwa na: 1. uelewa usio sahihi, au 2. maslahi kwenye katiba iliyopo. Hapa chini ni ushuhuda wake bwana Extrovert. Heshima kwako...
7 Reactions
75 Replies
4K Views
Mambo mengine yanashangaza sana; leo kila mmoja wa watu mashuhuri anatafuta gia ya "kutokea"; mwisho Rais na wajumbe wa Kamati Kuu nao watakuja na kusema "wanataka Katiba Mpya". Nimekaa naangalia...
0 Reactions
99 Replies
10K Views
Kama Kumbukumbu zangu hazijakosea katika wale Champions wa Kudai Katiba Mpya nchini Tanzania Profesa Shivji nae yupo au alikuwepo bila kuwasahau na Waandamizi wenzake kama akina Mzee Warioba (...
4 Reactions
72 Replies
6K Views
Je tutaacha alama hapa duniani pale muda wetu wa kuishi kulingana na wito na kusudi la kuwepo kwetu hapa duniani utakapokuwa umefikia ukomo? "Haijalishi umeishi miaka mingapi bali umeweka alama...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Hili ni swali ambalo jibu lake liko wazi; kuwa Rais Kikwete hakuwa na madaraka hayo. Hata hivyo, wapo wanaoamini kuwa kwa vile Rais kaamua kufanya kitu basi kitu hicho ni halali. Mimi na baadhi...
14 Reactions
133 Replies
13K Views
Mh. Rais Samia, kwa muda mfupi ametenda mema mazuri. Yanaonekana ni mazuri ya pekee kutokana na utawala uliotangulia kuwa mbaya sana. Kama umeshinda siku mbili bila kula, siku ya tatu ukapewa uji...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Baadhi yetu tulikataa na tunaendelea kukataa kutambua mchakato huu wa Katiba Mpya. Tulianisha sababu za kufanya hivyo mapema kabisa Mwenyekiti wa CCM alipotangaza kuanzisha mchakato huu; na...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Kuna watu wasiojielewa wamejitokeza na kutaka ionekane Mheshimiwa Marehemu Rais Magufuli yupo hai, tuseme tu Mheshimiwa Magufuli amefariki na kuzikwa Rasmi, kwao Chato ni rais wa tatu kuzikwa...
13 Reactions
70 Replies
6K Views
Watanzania wameweza kusubiri kwa karibu miaka ishirini sasa kuweza kuanza mchakato wa kuandika Katiba Mpya. Bahati mbaya subira hii ya Watanzania inataka kuchukuliwa kama papara au haraka ya...
18 Reactions
64 Replies
7K Views
Salamu zangu kwenye Kongamano la Katiba Day 01/07/2021. Ndugu Mgeni Rasmi Mh Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa. Mheshimiwa John Mnyika Katibu Mkuu Chadema Taifa Watoa Mada wakuu...
17 Reactions
31 Replies
3K Views
Wengi tumetatizika na mapendekezo ya Muungo wa Tume ya Rais ya Kupitia Katiba kama inavyopendekezwa na Muswada wa Sheria ya Mapitio ya Katiba. Tuna tatizo jinsi Tume hiyo inavyoundwa, nguvu zake...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
KANUNI ZA MSINGI KUELEKEA KATIBA MPYA Na. M. M. Mwanakijiji Ili kuweza kufikia Katiba Mpya itakayokidhi mahitaji ya sasa na ya baadaye ya vizazi vya Watanzania ni lazima kuhakikisha kuwa...
3 Reactions
51 Replies
6K Views
Nimefarijika na moyo wa Mama Samia, kweli moyo wake una Bwana Mungu ndani yake. Jana wakati wa kumuaga Eng. Patrick Mfugale alitumia Neno toka Biblia Takatifu, Neno liloleta faraja kwa...
6 Reactions
15 Replies
11K Views
Ndugu zangu, Ilimpasa Mbowe aende jela ili kurudisha imani kwa wafuasi wa Chadema ambao walionekana kulalamika kuwa ''Mbowe mbona hakamatwi kama Lissu'' wengine ''Baba yake Mbowe alikuwa swahiba...
6 Reactions
59 Replies
10K Views
Kwa miaka mingi mikoa ya Mbeya na Songwe imekuwa ikitoa wanasia wenye kuelwmea upande wa upinzani, wakiikosoa serikali ya CCM bila ya woga wowote, hata wakitishiwa mateso na kifo hawatetereki...
10 Reactions
44 Replies
46K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…