Ukurasa wa Hayati Magufuli umefungwa kama zilivyofungwa za wengine

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,300
2,000
Kuna watu wasiojielewa wamejitokeza na kutaka ionekane Mheshimiwa Marehemu Rais Magufuli yupo hai, tuseme tu Mheshimiwa Magufuli amefariki na kuzikwa Rasmi, kwao Chato ni rais wa tatu kuzikwa wakwanza akiwa Karume, wapili Nyerere na Magufuli anaifanya idadi iwe ya watatu.

Tusiwe wajinga kama watu tulikosa muelekea japo chini ya CCM ndivyo wanavyotaka tuone hivyo,imekuwa mtu akifanya hivi au vile anaogopa au anavunja ,anapinga maneno maneno mengi ya kuvunjana moyo na mtu aonekane anenda kinyume na Magufuli.

Kama mtu akifanya kazi kwa kumuogopa Magufuli, Rais Magufuli ameishafariki na hatorudi tena na kama mtu akifanya kazi kwa mujibu wa sheria za nchi basi sheria zipo na zinafanya kazi yake kwa mujibu wa mazingira ya kutumiwa sheria hizo.

Ndio mara nyingi tunasikia kazi iendelee, kama ulikuwa unamtegemea Magufuli kwa mabaya au mazuri yako, unatakiwa ujue kuwa Magu ameishafariki kitambo. Ulikuwa mwizi ulikuwa kiongzi bora, waliopo hawatafanana na yeye na kuendelea kukulinda kama ilikuwa hivyo na inaoenakana wengi wameanza kupata tabu baada ya kufariki Magufuli, kama walitegemea kuwakingia kifua au kuwavunja kifua sasa hofu zimetawala na faraja imekuwepo.

Tusiwe kama tuliogandishwa kila kitu Magu,siku mtu anapokufa kama hamuelewi ndio na yeye mambo yake yote husimama isipokuwa yatakayompa faida ni yale mema na hayo hayahusiani na sisi tuliokuwepo hai.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
170,583
2,000
Case closed!

Kuna watu wasiojielewa wamejitokeza na kutaka ionekane Mheshimiwa Marehemu Raisi Magufuli yupo hai,tuseme tu Mheshimiwa Magufuli amefariki na kuzikwa Rasmi, kwao Chato ni rais wa tatu kuzikwa wakwanza akiwa Karume, wa pili Nyerere na Magufuli anaifanya idadi iwe ya watatu.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
24,072
2,000
mbona unasisitiza nawewe umewaamini hao watu,ambao hata hawajulikani ni akina nani na ni wapi waliyasema hayo!!!

JPM ni rais wa 5 kufariki sio wa tatu.

karume,nyerere,alli juma,mkapa,jpm.
ni kama wewe ndio unasema hapa,kwamba jpm bado yuko hai.
 
Bunsen Burner

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
591
1,000
Duh umenikumbusha na Luteni Mkapa ,hawa wanaokufa kwa gafla wanaroo ngumu kuingia kwenye kundi la maiti. Ni wanne karume,Nyerere.Mkapa na Mheshimiwa Magufuli.
Yote kwa yote tumwachie Muumba na hakuna kama yeye... manake kama hata TB Joshua hatunaye leo, sasa nani ataendelea kubisha .Tuendelee kujitahidi kutenda mema..
 
eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
12,452
2,000
Kuna watu wasiojielewa wamejitokeza na kutaka ionekane Mheshimiwa Marehemu Rais Magufuli yupo hai, tuseme tu Mheshimiwa Magufuli amefariki na kuzikwa Rasmi, kwao Chato ni rais wa tatu kuzikwa wakwanza akiwa Karume, wapili Nyerere na Magufuli anaifanya idadi iwe ya watatu.

Tusiwe wajinga kama watu tulikosa muelekea japo chini ya CCM ndivyo wanavyotaka tuone hivyo,imekuwa mtu akifanya hivi au vile anaogopa au anavunja ,anapinga maneno maneno mengi ya kuvunjana moyo na mtu aonekane anenda kinyume na Magufuli.

Kama mtu akifanya kazi kwa kumuogopa Magufuli, Rais Magufuli ameishafariki na hatorudi tena na kama mtu akifanya kazi kwa mujibu wa sheria za nchi basi sheria zipo na zinafanya kazi yake kwa mujibu wa mazingira ya kutumiwa sheria hizo.

Ndio mara nyingi tunasikia kazi iendelee, kama ulikuwa unamtegemea Magufuli kwa mabaya au mazuri yako, unatakiwa ujue kuwa Magu ameishafariki kitambo. Ulikuwa mwizi ulikuwa kiongzi bora, waliopo hawatafanana na yeye na kuendelea kukulinda kama ilikuwa hivyo na inaoenakana wengi wameanza kupata tabu baada ya kufariki Magufuli, kama walitegemea kuwakingia kifua au kuwavunja kifua sasa hofu zimetawala na faraja imekuwepo.

Tusiwe kama tuliogandishwa kila kitu Magu,siku mtu anapokufa kama hamuelewi ndio na yeye mambo yake yote husimama isipokuwa yatakayompa faida ni yale mema na hayo hayahusiani na sisi tuliokuwepo hai.

Rekebisha andiko lako. Idadi ya marais ni 4.
 
Pslmp

JF-Expert Member
Mar 18, 2021
1,630
2,000
Umetokea wapi Kwanza, na unataka kusema kitu gani, mbona hueleweki,
 
luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
12,456
2,000
Dogo acha bangi upuuzi mtupu.hata hivyo tumepoteza mtu makini jpm. Hakuna kama jpm.
Hata wewe utakufa tu.
 
  • Thanks
Reactions: K M

Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,974
2,000
Duh umenikumbusha na Luteni Mkapa ,hawa wanaokufa kwa gafla wanaroo ngumu kuingia kwenye kundi la maiti. Ni wanne karume,Nyerere.Mkapa na Mheshimiwa Magufuli.
Kwanini Magufuli ndio umemuaddress kama mheshimiwa? Hao wengine uliowaacha hawakuwa waheshimiwa? Acha kutuonyesha roho yako ya kibaguzi waziwazi na kama bado yupo mawazoni mwako jitahidi kutafuta wino wa kumfuta vinginevyo mzimu wake utakuchelewesha kutajirika!
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,974
2,000
Dogo acha bangi upuuzi mtupu.hata hivyo tumepoteza mtu makini jpm. Hakuna kama jpm.
Hata wewe utakufa tu.
Aache bangi ili wewe iendelee kuivuta? Onyesha umakini wake hapa nasi tukuwekee mapungufu yake lukuki! Hata wewe hutaishi milele utakufa!
Hivi kufa ni shilingi ngapi nianze kuzidunduliza? Usitishe wengine na kifo as if aliyekufa hakustahili kufa!
 
  • Love
Reactions: BAK

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,106
2,000
Duh umenikumbusha na Luteni Mkapa ,hawa wanaokufa kwa gafla wanaroo ngumu kuingia kwenye kundi la maiti. Ni wanne karume,Nyerere.Mkapa na Mheshimiwa Magufuli.
WE NAWE NDO NINI SASA?
Umemtaja Karume umewaacha IDRISSA ABDUL WAKIL (Kafariki 2000) , ABOUD JUMBE (Kafariki 2016)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom