Rais Samia amuaga Mfugale kwa neno kutoka kwenye Biblia (Joshua 1:9)

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,327
24,209
1625295139558.png

Nimefarijika na moyo wa Mama Samia, kweli moyo wake una Bwana Mungu ndani yake.

Jana wakati wa kumuaga Eng. Patrick Mfugale alitumia Neno toka Biblia Takatifu, Neno liloleta faraja kwa waombolezaji wengi pale Karimjee.

Alisoma kutoka kitabu cha Joshua 1:9

"Je, si mimi niliyekuamuru uwe jasiri na imara? Basi uwe jasiri na imara. Usitetemeke wala kuogopa, kwa maana mimi Yehova Mungu wako nipo pamoja nawe mahali popote utakapoenda.”

Neno hili la kumsindikiza Eng Mfugale limepoza wengi katika utekelezaji wa kazi za serikali, kwamba na Bwana Mungu yuko pamoja nao.
Amen.
 
Madam President SSH
Tupambane na uchumi yaliyopita si ndwele
 
Kwa hiyo uchapa kazi wake ndiyo umempa hadhi ya msiba wa Kitaifa..!!?
Rais Mwinyi alisema, ukishaondoka duniani unaacha kitabu cha kupendeza kusoma kwa waliobaki dunianii.
Kitabu cha Mfugale ni somo tosha kwa viingozi wengi wachanga.
 
View attachment 1838548

Nimefarijika na moyo wa Mama Samia, kweli moyo wake una Bwana Mungu ndani yake.

Jana wakati wa kumuaga Eng. Patrick Mfugale alitumia Neno toka Biblia Takatifu, Neno liloleta faraja kwa waombolezaji wengi pale Karimjee.

Alisoma kutoka kitabu cha Joshua 1:9

"Je, si mimi niliyekuamuru uwe jasiri na imara? Basi uwe jasiri na imara. Usitetemeke wala kuogopa, kwa maana mimi Yehova Mungu wako nipo pamoja nawe mahali popote utakapoenda.”

Neno hili la kumsindikiza Eng Mfugale limepoza wengi katika utekelezaji wa kazi za serikali, kwamba na Bwana Mungu yuko pamoja nao.
Amen.
Kwa kweli Mama Samia amepatia sana kutumia Neno La Mungu kuwafariji wafiwa na waombolezaji.
 
Ni kwa vile hujafanya kazi karibu naye.
Jamaa alikuwa proffessional na principled.
Hilo limeshuhudiwa na Kadogisa wa TRC na kijana Dr wa UDART
Hivi walisema(zingatia hapo walisema,inasemekana)alianza kuwavimbia na kuwapandishia mabega wakuu wake baadhi!🤔🤔🤔🤔🤔
 
Hivi walisema(zingatia hapo walisema,inasemekana)alianza kuwavimbia na kuwapandishia mabega wakuu wake baadhi!🤔🤔🤔🤔🤔
Wakubwa wasio na uelewa wanaweza amrisha jua kesho liamkie magharibi!
Ni juu ya proffessionals kuwaambia hilo haliwezekani.
 
Back
Top Bottom