Wanabodi, ni dhahiri Mpaka sasa Mama Samia Suluhu Hassan anatekeleza maneno aliyohubiri Tundu lissu wakati wa kampeni mwaka 2020,Yalikuwa maneno matatu tu yaani Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu...
Naam, Habarini ndugu.
Katika kusherehekea siku 100 za mama samia madarakani, nimeona nijaribu kuelezea kwa kifupi dhamira yake ya kukuza zaidi uwekezaji.
Nampongeza mama samia, kwa kuonesha...
Niko najaribu kuhusianisha mafanikio ya Mama na uwepo wa hoja za kimaendeleo kutoka vyama pingapinga hususani CHADEMA.
Miaka mitano iliyopita wapinzani walinyanyaswa sana, walipewa kesi za uongo...
Wakuu mazingira ya kufanya siasa za wazi nchini ni mabaya zaidi kuliko kipindi chochote kwa wapinzani. Tumesikia msimamo wa serikali kupitia kwa mh Rais ya kwamba OPEN FIELD POLITICS haziruhusiwi...
American statesman and a retired four-star general in the United States Army, Colin Powel once said, ''There are no secrets to success. It is the result of preparation, hard work, and learning...
Ni maneno yaliyonipa tafakari kubwa sana hasa wakati huu ambao kila sehemu kuna praise team kuanzia Upinzani hadi Chama Tawala ni maneno ya kufikirisha toka kwa mdau huyo akisema.
"Kadiri kelele...
Hapa mama anazidi kunifurahisha, kwa sasa nchi yetu inahitaji kupaa kiuchumi na sio kupiga kelele za kisiasa. Wanaoruhusiwa ni wabunge tu kwenye maeneo yao na si vinginevyo.
Ngojeni kwanza tupae...
Kumbe zipo sababu nyingi kuwasikia wajumbe wetu wa BLW wanasema kwa ukali, ghazab na jazba wanapozungumzia haki ya Zanzibar ndani ya Muungano; dhulma inayofanyiwa Zanzibar ndani ya Muungano na...
Huyu Waziri anaongea live now Channel Ten, yaani anachoongea sikutegemea kuongelewa na Waziri anaongea kama BAVICHA purely.
Anaponda sana awamu iliyopita sijui ilikua inakwepa mataifa mengine...
Leo nilipata muda wa kufuatilia mahojiano ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, ndugu Anthony Mtaka kupitia televisheni ya taifa, TBC1.
Alizungumza mengi, ila binafsi nilivutiwa zaidi na haya yafuatayo;
1...
Kauli za namna hii ziliwahi kutolewa na baadhi ya wabunge na viongozi kutoka vyama vya upinzani kisha siku chache baadae tukasikia wamehamia CCM.
Leo tunamsikia Dkt. Vincent Mashinji akitoa...
Zitto anaamini msanii wa Hip hop nchini kutoka Arusha, Nikki wa Pili ana maono ya masuala mbalimbali hivyo angefaa kushiriki kwenye siasa.
Mbunge huyo wa Kigoma, baada ya kusoma maoni binafsi...
Nimesikia katika vyombo vya habari vya ndani na vya kimataifa kuwa Rais Samia Suluhu ametimiza siku 100 madarakani leo 27/06/2021.
Nachokumbuka huyu Rais Samia alikula kiapo cha kuwa Rais wa JMT...
Tanzania hatuna waandishi wa habari bali tuna makanjanja tu. Mmepata fursa ya kuuliza maswali kwa rais wa nchi anayemiliki vyombo vyote vya ulinzi na usalama lakini mnaishia kuuliza maswali ya...
Kimya kina mshindo, Watu wanasema Mlimwengu huoni? Mbona husemi? Mlimwengu nilichagua kutumia milango yangu ya fahamu vizuri kutathmini yanayofanyika.
Baada ya dhiki ni faraja. Tulipata msiba...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema yoyote atakaye waonea waandishi wa habari wakati wakitimiza majukumu yao watakiona, kwani serikali inawatambua na kuwathamini na isingependa kuona hata siku...
Kama Nchi tunawasaidizi wakushangilia alisema mkubwa bila kuchimbua kwa undani.
Mradi wa bandari ya bagamoyo,pamoja na yote ukimsikiliza Magufuli anakushawishi uuchimbe mkataba hata kama hujasoma...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa wanafamilia na Rais wa Zambia Edgar Lungu, kufuatia kifo cha Rais wa Kwanza na Muasisi wa Taifa hilo...
Wakati wa Awamu ya Nne tulishuhudia masuala ya ajabu sana maana vyombo vya habari vilikuwa vikipotosha umma. Kila alilolifanya mfalme wakati huo lilionekana jema.
Kuna wakati wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.