Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kitendo cha Balile kulifananisha Jukwaa la Wahariri na Bunge au Mahakama linafikirisha sana. Yaani kweli Bunge tukufu ndio la kufananishwa na Jukwaa la Wahariri? Yaani kwa sababu bunge linapewa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
JULAI 24, 1933, Rais wa 32 wa Marekani, Franklin Delano Roosevelt ‘FDR', alihutubia umma wa taifa lake na kueleza kipimo cha siku 100 tangu alipoingia madarakani. Siku 100 za FDR zilitimia Juni...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ivi hapa mama Samia kapotea. Inaqezekanaje usisitize juu ya kufuata sheria za nchi wakati huo ukivunja katiba ya nchi kwa kuzuia shughuri za kisiasa? Ni sheria ipi inayotaka vyama vifanye...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Chadema wanatufunza "uzalendo". Tafsiri ya uzalendo inaendana na uwezo wa kiakili. Huwezi kuwa mzalendo kama akili haipo sawasawa, uzalendo ni kukipenda kitu chako bila mipaka, bila kujali...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais John Magufuli akizindua mradi wa maji ulioko Kagongwa, Isaka - Kahama Mradi umegharimu takriban Tsh bilioni 23.157 fedha ambazo zimetolewa na serikali ya Tanzania. Matenki yanajaza lita...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Nina uhakika wa 100% kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ukija hapa JamiiForums tena kwa ID yake 'Verified' na ukachati nasi hutojutia kwani tutakueleza Mambo mengi bila unafiki wala uwoga...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Haki ya Watanzania kuweza kukutana na kufanya mambo yao kwa amani ni haki ya msingi kabisa na ni haki iliyopo kikatiba. Mtu mmoja au kundi la watu wachache kwa nini tuwaachie waikiuke hiyo haki na...
2 Reactions
1 Replies
563 Views
Magereza yanafunguliwa, magereza ya jeshi la magereza tunaona kwa macho. Je, ndio huyu au tusubiri mwingine, naye akajibu, vipofu wanaona na viziwi wanasikia! Jela kubwa kabisa kuliko zote,jela...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama jibu ni ndiyo, Sheria ipi nyingine ana madaraka ya kuifuta bila kushirikisha Bunge?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kutokana hali iliyopo sasa, ikumbukwe kwamba mkuu wa mkoa Dar es Salaam, Amos Makalla juzi alikuta bomba la mafuta wilaya ya Kigamboni watu ambao hakuwagaja wamejiunganishia mafuta cha ajabu yeye...
7 Reactions
54 Replies
6K Views
1. Waliohusika kumkamata wafunguliwe mashtaka. 2. Waliomtesa wafunguliwe mashtaka. Tatizo kubwa la Watanzani wengi wana short term vision. Tayari wamesharidhika. Mdude asaidiwe waliomtendea huyo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna tabia iliyojengwa miongoni mwetu ya kutoa sifa zilizopitilizakwa viongozi wapya, hasa rais, waingiapo madarakani. Tabia hii sijui tumeirithi wapi? Tunawapa sifa mpaka wanajiona miungu...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuujulisha umma kuwa Jumanne tarehe 29 Juni 2021 kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kitafanyika chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kinachofanyika mahakamani kwa miezi mitatu mfululizo ni ishara kwa muhimili wa mahakama kushindwa kutekeleza wajibu wake na kutekeleza maelekezo ya serikali. Kwa kuwa mkuu wa muhimili wa mahakama...
39 Reactions
61 Replies
5K Views
Mimi nimekuwa muumini wa katiba mpya tangu enzi na enzi. Kabla hata JF haijazaliwa. Niliamini hivyo kwa sababu unapobadili mfumo wa kisiasa, basi ni lazima pia ubadili sheria na taratibu...
16 Reactions
98 Replies
6K Views
Nimeona mabishano yanayoendelea Kati ya Kigogo na Polepole, ukisoma ujumbe wa Polepole ni dhahiri anafurahia kitendo cha ndugu zetu kupoteza maisha, kuparalize na wengine kupoteza kabisa dira...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Moja kwa moja kwenye mada. Naomba nitoe angalizo kwamba hili sio bandiko la ukabila wala matusi bali ni kumbukizi aliyotuasa mwaliko hapo zamani za kale akiwa hai. Ndugu zangu hayati mwalimu...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi wadau! Leo napenda kuongelea kuhusu suala la program aliyoibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kui rebrand nchi yetu na faida ya programu hii kiuchumi huko mbeleni...
10 Reactions
52 Replies
5K Views
HAIWEZEKANI Chama cha Siasa kuibuka na kusema kinataka masuala ambayo yapo kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) bali wanachama waeleze changamoto katika jamii zinatatuliwa kwa njia gani...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Tokea Rais Samia aingie madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Naona kila anachofanya anapata sifa kutoka kwa watu wengi hasa wa upinzani. Kwa maono yangu hivi anavyofanya mama...
12 Reactions
49 Replies
4K Views
Back
Top Bottom