Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya purukushani za mitandaoni wiki nzima kati ya wanaharakati, wanasiasa na Serikali kuhusiana malalamiko mbalimbali ya kisheria na kikatiba. Hili lilipelekea matamko, vitisho, kejeli na...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
“Siamini sana Kama ujenzi wa Sanamu ni ishara tosha ya kumkumbuka hayati, Bali ingejengwa shule au taasisi ya kurahisisha Huduma za kijamii ikaitwa jina la anayetaka kukumbukwa na si sanamu “...
34 Reactions
91 Replies
9K Views
Habari wadau! Binafsi naomba niwe tofauti kuhusu suala la Magufuli kujengewa sanamu pale sabasaba. Magufuli sasa hayupo hivyo hakuna wa kumsemea leo nimejaribu kuvaa viatu vyake ,naamini kama...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanasema eti kuuliza si ujinga! Wakati ujinga ni hali ya kutojua kitu au jambo fulani. Sasa kama kitu unakijua au jambo unalijua, unauliza ili iweje sasa? Baadhi ya hii misemo ya Kiswahili...
34 Reactions
191 Replies
10K Views
Kwenu marais wetu Wastaafu, Mwinyi, Mkapa na rais Kikwete. Kwa heshima na taadhima inafikirisha kuwaandikia waraka huu baada ya kuwa kwa dhati kabisa, njia nyingi zimejaribiwa kushauri, kuhimiza...
6 Reactions
57 Replies
7K Views
Mara nyingi sana binadamu huwa ana tabia ya kusahau. Nyakati zote za uchaguzi mkuu wagombea huwa wanyeyekevu kupita kiasi, lakini mara baada ya kushinda uchaguzi ni nadra sana wabunge kuonekana...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni wiki sasa tukianzia kule Zanzibar tumeona kamati ya Uongozi ya CCM ikifanya mikutano ya kisiasa , lakini pia nimeona trend ya Chadema wakiendelea na oparesheni haki kwenye mikoa mbalimbali hapa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Faustine Ndugulile amesema watafuta tozo zote ambazo zilikuwa zinawabana vijana katika kujiajiri kwa kuendesha YouTube channels au blogs. Amesema...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Walio mipakani wanajua, bidhaa zote wanaenda kununulia miji jirani maana huku bei haziwezekani. Sasa kama hata Petrol watu wanaenda kununua miji ya nchi jirani mfano pale Tunduma wakati Petrol...
18 Reactions
61 Replies
4K Views
CCM kila siku inajisifu "sisi ni chama Tawala" bila kuwaonyesha chini ya utawala wao kipi cha kujivunia hasa katika dunia ya leo tuwezacho kuionyesha dunia? Ona hii, leo 2021 Waziri wa Viwanda...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
"Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama...
17 Reactions
89 Replies
8K Views
Kijana tunajua spirit yako ni moto sana, Hujawahi kuwa dhaifu hata siku moja, toka umetekwa mara ya kwanza na hata ulipokaa jela zaidi ya mwaka na nusu. Walitumia silaha yao ya kuteka, kutesa na...
19 Reactions
130 Replies
9K Views
Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi Mnamo Julai 05, 2021 waziri wa Utalii na maliasili Mhe. Dkt. Ndumbaro [Wakili na mmiliki/Partner wa Meleta and Ndumbaro Advocates iliyopo...
23 Reactions
119 Replies
11K Views
Kuna ubinafsi mkubwa ambao unashangaza wengi sana kwenye nchi zetu za Afrika na zinazoendelea. Mfano kwenye magari ya Serikali mimi naishi state ya Texas magari mengi ya Serikali ya hili jimbo ni...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Dunia inabadilika. Mazingira ya siasa ya nyakati za Kikwete, siyo yaliyokuwepo wakati wa Magufuli na siyo sawa na yaliyopo sasa, wakati wa Samia. Wakati wa Jakaya, kilio cha uvunjwaji wa haki na...
21 Reactions
22 Replies
2K Views
"Tangu uingie madarakani, tumeshuhudia serikali yako ikichukua hatua dhidi ya viongozi mbalimbali wenye tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka." Askofu Alinikisye Cheyo. My Take: Ukiondoa Kakoko...
1 Reactions
15 Replies
45K Views
Kamanda heshima yako, Napenda kukufahamisha kuwa tumekutumia email ya malalamiko dhidi ya maofisa wako wanajihusisha na vitendo vya rushwa. Email hii tuliyokutumia tumetumia dgeneral@pccb.go.tz...
4 Reactions
30 Replies
6K Views
Wanajamvi roho yangu ina huzuni sana kila nikiona hali wa Wananchi wa Tanzania ilivo kimaisha, aisee inasikitisha sana. Ndani ya Nchi hii watu wanalala njaa wakati Wana Ardhi ambayo ina Kila kitu...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Na Mwandishi wetu, Rukwa. KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Godfrey Chongolo amewaagiza wabunge wote wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wanaotokana na CCM kufanya ziara katika...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…