Askofu Cheyo zama za kujikomba zimeshapita, tafadhali punguzeni sifa nje ya uhalisia

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,735
6,284
"Tangu uingie madarakani, tumeshuhudia serikali yako ikichukua hatua dhidi ya viongozi mbalimbali wenye tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka." Askofu Alinikisye Cheyo.

My Take:
Ukiondoa Kakoko na Sabaya who is the other?

Kasome ripoti ya CAG halafu mngemuuliza mama vipi kuhusu kina Kigwangala na Clouds media na wengineo kibao mpaka wale wa kwenye ripoti ya BOT.

Vip kuhusu matumizi ya nguvu toka kwa vyombo vya Dola yaliyoshuhudiwa katika awamu ya 5. Hamuoni kuwa Sabaya amekuwa kama Mbuzi wa kafara. Kwani tukio la Bashite kuvamia Clouds lilikuwa ni Siri?

Oparesheni Kibiti nayo imekuwa siri mpaka leo? Nani alimuua Akwilina?

Inshort uliowataja ni kama 1% ya wanaopaswa kushughulikiwa. Tunajua gia zilizotumika ni kwa ajili ya ku-gain popularity. Ni kwamaba ninyi hamjui?

Tafadhalini watumishi, tunawapenda na kuwaheshimu sana, katika hili hapana tusipende kutoa cheap cedits for cheap popularity, propagandaz na Spins nyepesi hivi.

Lugha ya Rais ni tamu sana. Anawakatalia huku akimaliza hotuba kwa kuwainamishia shingo akiwa kakunja mikono kwa unyenyekevu.
Amefanya vema huyu mama ktk hilo. Kwasabb hawa maaskofu ni wafanyabiashara kama wafanyabiashara wengine tu.

Mashule na mahospitali yao yanatoza fedha kama wengine tu. Kiukweli sioni sabb ya wao kuomba exception.

Wao wanadai eti hawafanyi biashara bali wanatoa huduma kwa jamii.
 
Kawajibu kwa ufasaha na ndio ukweli wenyewe.

Sasa wataanza tena kuandika waraka ili kuipooza hasira yao.
 
Walikuwa wanamjenga ili awaondolee Kodi kwenye bidhaa wanazoagiza toka nje hasa hasa magari. Lkn Samia amegoma.
Imemuelewa vibaya. Wameomba waondolewe income tax kwenyeniashara zinazo fanywa na taasisi za dini. Ambazo kwa kweli huwa naziona ni ghali kuliko taasisi za watu binafsi. Namuunga mkono Mama Samia, Rais kwa kuwakatalia.
 
Wameomba faragha.

Yapo mengi asingeweza kuyatamka hadharani.

Hotuba za viongozi wa dini huwa ni mafumbo zaidi "DEMOKRASIA" ndani yake ni balaa
 
"Tangu uingie madarakani, tumeshuhudia serikali yako ikichukua hatua dhidi ya viongozi mbalimbali wenye tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka." Askofu Alinikisye Cheyo.

My Take:
Ukiondoa Kakoko na Sabaya who is the other?

Kasome ripoti ya CAG halafu mngemuuliza mama vipi kuhusu kina Kigwangala na Clouds media na wengineo kibao mpaka wale wa kwenye ripoti ya BOT.

Vip kuhusu matumizi ya nguvu toka kwa vyombo vya Dola yaliyoshuhudiwa katika awamu ya 5. Hamuoni kuwa Sabaya amekuwa kama Mbuzi wa kafara. Kwani tukio la Bashite kuvamia Clouds lilikuwa ni Siri?

Oparesheni Kibiti nayo imekuwa siri mpaka leo? Nani alimuua Akwilina?

Inshort uliowataja ni kama 1% ya wanaopaswa kushughulikiwa. Tunajua gia zilizotumika ni kwa ajili ya ku-gain popularity. Ni kwamaba ninyi hamjui?

Tafadhalini watumishi, tunawapenda na kuwaheshimu sana, katika hili hapana tusipende kutoa cheap cedits for cheap popularity, propagandaz na Spins nyepesi hivi.

Jamani tumekwisha, wasaliti wetu bado wanapeta. Bishops don't grow on trees, kweeeeli unamtukana Askofu? Na ndiyo unatakactuvadili katiba waje mabeberu watuibie makanikia yetu? Au mrudishe Waarabu? Kwa nini MODERATORS msi msimfute huyu ndugu?
 
"Tangu uingie madarakani, tumeshuhudia serikali yako ikichukua hatua dhidi ya viongozi mbalimbali wenye tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka." Askofu Alinikisye Cheyo.

My Take:
Ukiondoa Kakoko na Sabaya who is the other?

Kasome ripoti ya CAG halafu mngemuuliza mama vipi kuhusu kina Kigwangala na Clouds media na wengineo kibao mpaka wale wa kwenye ripoti ya BOT.

Vip kuhusu matumizi ya nguvu toka kwa vyombo vya Dola yaliyoshuhudiwa katika awamu ya 5. Hamuoni kuwa Sabaya amekuwa kama Mbuzi wa kafara. Kwani tukio la Bashite kuvamia Clouds lilikuwa ni Siri?

Oparesheni Kibiti nayo imekuwa siri mpaka leo? Nani alimuua Akwilina?

Inshort uliowataja ni kama 1% ya wanaopaswa kushughulikiwa. Tunajua gia zilizotumika ni kwa ajili ya ku-gain popularity. Ni kwamaba ninyi hamjui?

Tafadhalini watumishi, tunawapenda na kuwaheshimu sana, katika hili hapana tusipende kutoa cheap cedits for cheap popularity, propagandaz na Spins nyepesi hivi.

SSH amekutana na MASADUKAYO, wanafikiri tumbo kuliko wananchi,
Wanafikir vizazi vyao kuliko vya wengine huku wakijihesabia haki mbele ya wananchi walio wafanya maskini.
Wanapeleka matumbo mbele wakijinasibu wamechaguliwa na wananchi maskini ilhali wakijua wamingia kwa hisani ya MWENDAZAKE kwa kunanii kura.
 
Back
Top Bottom