Siku moja nikiwa kijiweni kwetu na vijana wenzangu tukipiga stori mbili-tatu asubuhi. Mwenzetu mmoja ambaye ni fundi wa bajaji aliniuliza swali lililofanya nifike mbali sana kuhusu hali za mataifa...
Wakuu poleni na majukumu ya Ujenzi wa Taifa.Km kichwa kinavyojieleza,nipo nasikiliza wimbo wa Harmonize a.k.a Konde boy, ule ambao anamsifia Mkuu wa nchi.Kuna sehemu nimesikia akisema,Magufuli ndo...
Siku za hivi karibuni kumezuka Wanasiasa na Wanaharakati wanaohanikiza kupatikana kwa katiba mpya, huku wakijaribu kuiaminisha jamii ya Watanzania kwamba kupatikana kwake ndio itakuwa mwisho wa...
Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imelitaarifu Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Kuwa haina nia ya kuendelea kuidhamini ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League ikitoa sababu ya...
Kabudi Ni kati ya waasisi wa Kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC na ndio wadau wa kwanza wa kudai mabadiliko ya katiba miaka 25 iliyopita since 1995 kilipo anzishwa na kuwa mjumbe wa bodi...
Kama tulivyoahidi kuwavurumishia taarifa zote za operesheni haki inayoendelea kote nchini Tanzania, leo tena tunaendelea kuwaletea yanayojiri huko Pemba, ambako tayari Mwamba Mbowe ameishawasili...
SIASA NI AJIRA, KUZUIA MIKUTANO NI KUNYIMA KUNDI FULANI ULAJI
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Moja ya mambo ambayo nilipishana na JPM Kwenye utawala wake ni suala la kuzuia mikutano ya Kisiasa ya...
Chanda chema huvikwa pete. Huo ni msemo wa wahenga.
Huyu mama askari polisi alitusaidia sana kwa kusimamia misingi na haki akiwa OCD katika wilaya mojawapo hapa Dar.
Hakuwa mtetezi wa waharifu...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka mikoa ambayo bado haijatekeleza agizo lake la kuandaa makongamano ya uwekezaji ihakikishe inafanya hivyo mara moja.
Ametoa agizo hilo jana mchana (Jumamosi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya Simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mhe. Antony Blinken eo tarehe 06 Julai, 2021 Ikulu Jijini...
Akiongea na waandishi wa habari leo profesa Lipumba ameonyesha kushangazwa na hatua ya Rais Samia kumuachia huru mtu aliyekula njama za kukwapua zaidi ya shilingi bilion 350 za Escrow kwa kutakiwa...
Mwana JF,
Hebu fikiria hili. Katiba yetu inasema Tume ya Uchaguzi ikishamtangaza mtu hakuna mtu anaruhusiwa kupinga matokeo mahakamani. Ulishafikiria siku mwenyekiti wa tume akimtangaza mtu...
Kwa mujibu wa Taarifa za dunia, ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020, Pemba ndio eneo lililoongoza kwa mauaji ya raia, wakiwemo watoto na vikongwe.
Wote waliounga mkono Maalim Seif na upinzani...
Hivi karibuni tuliambiwa kuwa kutakuwa na Kimbunga cha Bernard Membe. Kiko wapi? Je aliwalaghai wananchi mbona hata hajatoa taarifa za Kukacha Kampeni?
Je, ulaghai kama huu wananchi watauvumilia...
Hii ni kwa wale vijana waliokuwa wadogo, nao ni vyema wangepata ABC za kuvunjika kwa mchakato wa katiba mpya mwaka 2014.
Ieleweke pia, mswaada wa katiba mpya uliishandikwa na wajumbe wakiongozwa...
Wakati wa Mchakato wa KATIBA MPYA mwaka 2011, Bwana Humphrey Polepole na Bw. Kabudi Walikuwa Miongoni ya Wajumbe wa ile Tume ya Warioba. Watu hawa Walikuwa Mstari wa mbele sana kuhakikisha...
Jimbo la Konde, Zanzibar lilikuwa wazi kufuatia kifo cha Mbunge Khatib Haji. Hivyo Baraza la Uchaguzi lilitangaza uchaguzi mdogo
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amewalaumu wanachama na...
Sheikh Mselem Ali, mmoja kati ya Masheikh wa Uamsho ambao wametoka Gerezani amesema mihadhara yao ilikuwa na nia ya kuwaamsha watu kudai Katiba Mpya.
Amesema kwa kipindi kile walifanya hivyo kwa...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Fatma Ayoub Mwinyimvua Simba kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu (FIU) kuanzia leo Julai 05, 2021
Awali, Fatma alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya...
Tangu ndugu yako wa damu atutoke umekuwa dhaifu sana umeishiwa confidence kabisa ndio maana ishu ya kukatika umeme imekuwa ngumu kwako kutumbua so sisi wanaubungo ndio tunaona machungu.
Hii sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.