General Ulimwengu aliwahi sema kwamba yeye akiuliwa ni wapi Makao makuu ya nchi yalipo kwa sasa jibu lake litakuwa ni Katikati ya Dar na Dodoma.
Ni wamati wa Serikali kuamua either irudi Dar au...
Leo hii hawa watu wawili wanaibuka na kusema kuwa kwa sasa kama taifa halihitaji Katiba mpya.
Wamesahau kuwa walishiriki mchakato wa mapendekezo ya kuipata rasimu ya katiba mpya.
Hawa watu...
Sijui ni kutokujielewa…sijui ni ujinga…sijui ni kutokujua unataka nini…sijui ni kutokujua kuwa hujui…sijui ni nini hasa!
Manake sielewi. Kama CCM waliiba uchaguzi wa 2020. Uchaguzi uliowapa...
Hoja: la muhimu zaidi ni heshima kwa sheria, na kwa vile Katiba ni sheria mama, basi heshima husika iwe kwenye sheria zilizomo kwenye katiba.
Hali ilivyo sasa: ni kweli katiba iliyopo ina...
Imekuwa ni mtindo sasa hawa wastaafu maraisi mawaziri na wengine tele ,wamezua mtindo wa kuingia katika shuguli za kiserikali eti kama wastaafu, kama tunavyojua mwaka wa 2025 CHADEMA wanaibuka...
Jana kaimu mkurugenzi wa Bugando amepinga MWANO kuwa anaupungufu wa mitungi ya kutunzuia na kugawia hewa ya oksjeni kwa wagonjwa ambao kwa madai yake anasema wameongezeka.
Mkurugenzi huyu akubali...
Kwa katiba tuliyo nayo mhe Samia anaweza kuteua familia yake yote na kuipa vyeo tofauti tofauti. Anaweza kumpa mtu yeyote cheo cha aina yeyote muda wowote. Uwe unataka ama hutaki.
Kwa mfano...
Nimewasikiliza viongozi wa CHADEMA, wamefungua battle mbili katika madai yao, Battle ya kwanza ni tume huru ya uchaguzi, na battle ya pili ni katiba mpya.
Kisha wamegawana majukumu, Baraza la...
Dar/Tabora. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeeleza namna ilivyofichua sakata la aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, huku wananchi kadhaa...
Jana niliweka uzi hapa nikasema huenda Mama swuala la Katiba analiunga mkono ila inabidi atumie watu nje ya chama chake kuliibua kwasababu wenzake ndani ya chama hawalitaki.
Nikaongeza ni suala...
KATIBA MPYA NI KETE KWENYE ILANI YA CHADEMA 2025.
Leo 09:15hrs 07/07/2021
Je CCM itakuja na agenda hii kwenye ilani ya kutafutia kura? Je tumeutafakari uzuri na ubaya wa katibs tuliyonayo!? Je...
Mimi ni mwana CCM, kwanza nakubaliana na mama Samia kuwa tuwe na subra juu ya Katiba Mpya. Lakini mbadiliko ya Katiba ni lazima yatokee kuziba mapungufu makubwa tuliyoyaona Awamu ya Tano.
Mifano...
Alivyofunguka kisomi wakili Kibatala kuwahusu wabunge 19 waliokuwa wanachama wa CHADEMA:
Sura tofauti katika kushughulikia tatizo la aina moja (double standards) katika rangi zake zaanikwa...
Namalizia sehemu ya mwisho ya andiko langu lenye kichwa cha Habari hapo juu.
Andiko lililopita nilieleza sisi Watanzania tulivyopambana na mawimbi yote ya maambukizi ya corona na namna wananchi...
Wakuu taifa letu linatekeleza maadhimio kadhaa kuhusiana na mikataba mbalimbali ya usawa wa kijinsia. Moja ya mikataba hiyo ni pamoja na ule wa kuhakikisha uwepo wa usaa katika vyombo vya maamuzi...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albart Chalamila amefikia hatua ya kusema hayo baada ya kuona watu wanasaau kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea Maendeleo katika Kaya Zao na Serikali na badala...
😀😀😀😀😀 niko hapa sebuleni kwangu naangalia Tv nimefurahi sana Rais Samia alivyosita kuingia wodini baada ya kuambiwa ni maalum kwa ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya kupumua hospitali ya Mwananyamala.
TULIENI MIOYONI: Ukuu wa Katiba Vs Ukuu wa Rais.
Hoja ya Katiba Mpya pamoja na sababu nyingine nyingi, inalenga kupunguza au kuondoa mgongano wa hatari kati ya Ukuu wa Katiba na Ukuu wa Rais. Kwa...
Kwa mfumo uliopo in ngumu kupata katiba mpya na bora kabisa kama hatutakuwa na ajenda ya kwanza kupeleka mswada wa dharula bungeni kuondoa vipengele vya KINGA.
KINGA zikiondolewa hata hii katiba...
Siku moja nikiwa kijiweni kwetu na vijana wenzangu tukipiga stori mbili-tatu asubuhi. Mwenzetu mmoja ambaye ni fundi wa bajaji aliniuliza swali lililofanya nifike mbali sana kuhusu hali za mataifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.