Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,734
- 6,292
Kabudi Ni kati ya waasisi wa Kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC na ndio wadau wa kwanza wa kudai mabadiliko ya katiba miaka 25 iliyopita since 1995 kilipo anzishwa na kuwa mjumbe wa bodi mpaka alivyoteuliwa kuwa mbunge. Ni muandishi wa machapisho mengi kuhusu katiba pia.
Hiki ni kipimo cha Prof wa Tanzania. Prof. Kabudi. Mtu anayesaliti taaluma yake kwa madaraka na njaa. Prof. ni mtafiti anayeamini kuhusu matokeo ya utafiti. Sasa yeye alifanya utafiti kwa kukusanya maoni ya Wtz na kuhusika kuyaweka katika rasimu ya Katiba. Leo anayapinga/saliti.
Hawa wanaharakati wa katiba mpya, wengine wao ni zao la Kabudi na amewapika yeye mwenyewe. Kusaliti movement yako na kuanza kufanya "Spinning" kwa Apprentices wako ni laana tu. Historia itakuandika hatujui how. Lakini nakuasa ni heri unyamaze na itakuandika kama Kawawa
Viongozi wetu wa kisiasa wote wa Tawala na wa upinzani mjifunze kuogopa Karma, Ikipita na wewe watakaofedheheka ni familia yako na kizazi chako kwani tunawajua watanzania kuwa hawasahau na tumeshajionea wenyewe fedheha wanazopata wengineo. It is KARMA
Palamagamba Kabudi; msomi, mwalimu, mshiriki harakati za kutafuta katiba mpya (UDSM ukumbi wa Nkurumah), mjumbe wa tume ya katiba, akawa waziri wa katiba na sheria, Anatia kinyaa kusema katiba hii ni madhubuti.
Pichani akiwa porini kutafuta maoni ya wananchi na tume ya WARIOBA.