Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania kutoka maeneo mbalimbali wamefurahishwa na hatua ya Mhe. Rais wa Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kuhakikisha anainua uchumi wa Watanzania na akisisitiza suala la Katiba...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Nyerere aliongoza mapambano ya kudai Uhuru toka kwa wakoloni. Kama ingelikuwa ni ujenzi wa ghorofa nasi Uhuru ni sawa msingi (foundation) Alijenga umoja wa kitaifa. "Reli ya Tazara" "Mabwawa ya...
7 Reactions
60 Replies
6K Views
Kampgia simu jana kummweleza kuwa wapo pamoja, ====== Mhe. Rais Magufuli azungumza kwa simu na Kansela wa Ujerumani Mhe. Angela Merkel. Wazungumzia kukuza zaidi uhusiano na ushirikiano wa...
18 Reactions
321 Replies
35K Views
Corona ni ugonjwa hatari wa kuambukiza kwa njia ya hewa, Rais alitakiwa kufahamishwa kuwa sasa anaingia wodi ya wagonjwa wenye corona ili ajiandae kimwili na kiakili, pia ahiari mwenyewe kuingia...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimefanikiwa kuiona clip ya Mdude akitumia maneno ya kuudhi na yasiyo na staha kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Niseme wazi kama Rais Samia angeamua asitoke asingetoka ila kwa sababu...
4 Reactions
78 Replies
6K Views
Mimi nawashauri viongozi wa vyama vya CHADEMA,NCCR na CUF wasiwe na matumaini kwamba Raisi Kikwete atawasikiliza na kwamba hatasaini muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba. Raisi Kikwete...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Vijana ndani ya hili taifa tumemuangusha rais Magufuli katiba utekelezaji. Wengi waliopewa madaraka wamelewa na kuharibu. Mfano mzuri ni Makonda, January, Nape, Jerry Silaa, Kigwangalla na...
4 Reactions
104 Replies
9K Views
Wasalaam, Inashangaza na kusikitisha kuona kikundi cha vijana wa CCM wakihangaikia ujenzi wa legacy ya mwendazake huku wakisahau kuwa nao inatakiwa waweke legacy kabla ya kwendazao, yaani...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika siku za hivi karibuni Chama cha Demokrasia na maendeleo, kupitia viongozi, wanachama na washabiki wake kote nchini, waliutangazia umma kuwa hawatashiriki uchaguzi wowote kama hakutakuwa na...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kitashiriki Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Muhambwe, ambalo liko wazi baada ya kifo cha Astashasta Nditiye ambaye alikuwa mbunge mteule wa jimbo hilo Wamesema hauwezi...
5 Reactions
95 Replies
7K Views
Wakati tunaangaika na Reli wenzetu kwenye mwaka wa tatu huu SGR yao ishaanza kazi na inabeba mzigo kweli kweli kutoka Mombasa kwenda Nairobi. Wakati tunabishana na bandari ya Bagamoyo wenzetu...
30 Reactions
93 Replies
6K Views
Watanzania wanafanywa wajinga sana kwenye maswala ya mitandao kuna mambo mawili ambayo watu wengi hawakuyajua 1. Juzi wakati Raisi anafungua kiwanda cha polisi IGP alisema Polisi hawana...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Toka CHADEMA ianze ziara zake nchini, Hoja zake imekuwa zikijadikiwa zaidi kuliko za Bunge. Suala la kataiba Mpya ambalo lilichagizwa na BAVICHA pale Baracuda limepelekea kuzua mijadala mizito...
7 Reactions
6 Replies
1K Views
BBC wametangaza kuwa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis anaumwa na amefanyiwa upasuaji, sijasikia taharuki. Hapa nchini viongozi wetu huwa ni siri hasa awamu ya 5. Kisa...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
TANROADS, mbona barabara ya kuingia stand ya mabasi Mbezi Luis progress yake ni zero? Au ndo imeyeyuka hivyo? Je, hii ya njia sita mbona pia hakuna kinachoendelea?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ningekuwa ndio mkuu wa wilaya ningetatua tatizo la ajira kwa watu wote wanaoishi wilayani kwangu. Hizi ni hatua ambazo ningechukua. Kwanza ningetambua idadi ya wahitimu wote wanaotokea wilayani...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Nina wasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Baragumu limepigwa, sauti ya mamlaka ya haki na unabii unaokaribia kutimia uko mbele yetu kama Taifa. Tumepitia kipindi kigumu sana...
1 Reactions
5 Replies
779 Views
Nimekuwepo huko katika harakati za maisha lakini naona kuna hali ya hatari hasa kwa wafanyabiashara wa mazao mana wanavamiwa na kupigwa mapanga na pia kupora hela zao. Matukio hayo yapo zaid...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
National Board of Accountants and Auditors Tanzania ina bodi ambayo huteuliwa na Rais wa Nchi. Kwa bahati mbaya sana imekuwa kawaida sasa kila ikimaliza muda huchelewa kuteuliwa nyingne na hiii...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
"Sasa hivi hukumu imewaachia huru akina Mbowe wito wangu kwa wale wote wenye Mamlaka ambao wanalifuatilia suala hili wafanye juhudi waweze kuwaambia wananchi ukweli nini hasa kilitokea kuhusu yule...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom