Uchumi bado Umekaza? Vodacom yajiondoa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
665
1,000
Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imelitaarifu Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Kuwa haina nia ya kuendelea kuidhamini ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League ikitoa sababu ya mwenendo mbaya wa Biashara.

Ni uchumi? Bwana Bakhresa kayatoa kwenye uchumi upi mabilioni atakayoyaweka kwenye Mpira?
 

wa ukae

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
1,978
2,000
Kampuni ya simu za Mikononi ya Vodacom imelitaarifu shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Kuwa haina nia ya kuendelea kuidhamini ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom premier ligue ikitoa sababu ya mwenendo mbaya wa Biashara.

Ni uchumi? Bwana Bakhresa kayatoa kwenye uchumi upi mabilioni atakayoyaweka kwenye Mpira?
Wale waliokuwa wanasema Bakresa anapata faida sana fursa hivyo sasa waichangamkie
 

mirisho pm

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
3,749
2,000
TFF inaendeshwa kipumb.v sana..

Azam wamelipa haki za kuonesha mpira kwa miaka kumi in lumpsum bila kujal kuwa league yetu inakuwa kila mwaka..
Alaf Voda com ndio wajipendekeze na kutoa hela za bure huku Azam wakilamba hela za matangazo na subscription fee.. League jinga hiyo
 

4G LTE

JF-Expert Member
Aug 4, 2015
6,717
2,000
TFF inaendeshwa kipumb.v sana..

Azam wamelipa haki za kuonesha mpira kwa miaka kumi in lumpsum bila kujal kuwa league yetu inakuwa kila mwaka..
Alaf Voda com ndio wajipendekeze na kutoa hela za bure huku Azam wakilamba hela za matangazo na subscription fee.. League jinga hiyo
Wee ndio upepo kabisa

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 

BonT

JF-Expert Member
Oct 14, 2020
958
1,000
Kama sikosei, wiki chache zilizopita iliandikwa magezetini kwamba mwaka huu Vodacom wasingetoa gawio bila shaka kutokana na faida kiduchu waliyokuwa wamepata! Sasa ukichanganya na mzigo uliowekwa na Azam, si ajabu TFF walitaka mzigo unaoeleweka kutoka Vodacom na sio ule wa mshindi kupata vimilioni vingapi sijui!

Ukichanganya yote hayo, unashauriwa usione aibu kutoka nduki kama kupigana ngumi huwezi manake kila siku wanaodhalilika na kichapo ni wale wanaoona aibu kutimua mbio.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom