Wana CCM, Katiba Mpya iliyorekebishwa ni kwa mustakabali wetu sote

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,170
23,861
Mimi ni mwana CCM, kwanza nakubaliana na mama Samia kuwa tuwe na subra juu ya Katiba Mpya. Lakini mbadiliko ya Katiba ni lazima yatokee kuziba mapungufu makubwa tuliyoyaona Awamu ya Tano.

Mifano ya mambo tuliyaona yakikiukwa wazi wazi Awamu ya Tano:
1. Rais Lazima awajibike kwa Wananchi kupitia Bunge.

2. Mihimili yote, Serikali, Bunge na Mahakama isiingiliwe kiutendaji na mhimili mwingine, na iwe kosa la jinai kufanya hivyo.

3. Serikali lazima ichukuliwe hatua kama CAG aikiona mapungufu makubwa katika matumizi yasiyoidhinishwa(kumbuka 1.5Trilloin).

4. Kiongozi atakayekiuka Haki za Binadamu lazima awajibishwe.

5. Ukomo wa Rais kutoshitakiwa uwe wakati akiwa madarakani tu(Trump leo anashitakiwa kwa kukwepa kodi).

6. Serikali isiingiie Mihimili mingine( mfano Rais kumfukuza kazi CAG baada ya kugundua matumizi yasiyoidhinishwa na Bunge ya 1.5 tril).

7. Kuingilia mchakato wa uchaguzi iwe kosa la jinai kwa kiongozi yeyote-hata wana CCM wanajua kuwa uchaguzi wa 2020 haukuwa uchaguzi halali bali kiongozi kawachagua awapendao kuingia Bunge. Aibu ya wabunge wa chama upinzani 19, ni tusi kwa demokrasia.

8. Uhuru wa kuongea, na kutoa maoni, mradi mtu havunji sheria(Makamba na Kinana walichukuliwa hatua kwa kudukuliwa na kuongea ya kwao ya moyoni).

9...
10...
11...

Haya wana CCM, bado tunakumbuka yaliyompata mzee Mangula. Nchi ingekuwa ya kuwajibika na mihimili imekaa sawa kwa katiba yenye uwezo na nguvu, waliompa sumu wangekuwa wamesha wajibishwa.
Lazima pawepo REAL CHECKS AND BALANCE katika execution ya duties zote za kiserikali.
 
Ajenda ya katiba mpya ni ajenda ya wanasiasa wanaotamani kurejea bungeni 'kiaina' baada ya kudondokea pua kwenye uchaguzi mkuu uliopita.

Kwa kuwa njaa imekuwa kali, ningweshauri wakubwa waunde review commission inayojumuisha wanasiasa wa upinzani, kila chama cha siasa kipewe viti ishirini vyenye hadhi za kibunge ili kuangalia maeneo yenye mapungufu ya katiba iliyopo na namna ya kuiboresha... 'Just to buy time' na kupunguza kelele za wanasiasa kwa kuwamegeapo nao katonge watoto wasife njaa, huku sisi tukiendelea kujenga nchi.

Commission hii itatakiwa kufanya kazi zake kimya kimya kwa kipindi kisichozidi miezi 24 ambapo kila chama kitakabidhi ripoti yao kwa spika wa bunge. No mikutano wala mijadala ya wazi.
Vikao vya tume hii vinaweza kufanyikia kwenye conference rooms za ofisi ya Bunge Dom au Dar.
If this happens, the katiba mpya agenda will be killed that way!
 
Ajenda ya katiba mpya ni ajenda ya wanasiasa wanaotamani kurejea bungeni 'kiaina' baada ya kudondokea pua kwenye uchaguzi mkuu uliopita...
Kwa kuwa njaa imekuwa kali, ningweshauri wakubwa waunde review commission inagojumuisha wanasiasa wa upinzani, kila chama cha siasa kipewe viti ishirini vyenye hadhi za kubunge ili kuangalia maeneo yenye mapungufu ya katiba iliyopo na namna ya kuiboresha... Just to buy time na kupunguza kelele za wanasiasa kwa kuwamegeapo nao kayonge watoto wadife njaa, huku sisi tukiendelea kujenga nchi.
Commission hii itatakiwa kufanya kazi zake kimya kimya. No mikutano wala mijadala ya wazi...
Rubbish from a poor mind.
 
Rubbish from a poor mind.
Wakati tunafundishwa Physics, tulianza kwa kufundishwa namna ya ku resolve forces (Vector Quantity na Scalar Quantity). Mwalimu alituambia, we have to resolve these forces because they are here to stay. They will go no where.
Unapokuwa chama dola, hutakiwi kuwapiga wapinzani kwa virungu. Unatumia political leverage (options) to resolve oposition forces na resultant force inayotokea ita lead into peace and harmony kwa nchi husika. Thats all we want.
Ukiona wapinzani wanapiga kelele unajua hawana kazi ya kufanya, hapa ndipo philosophia ya hayati Magufuli ya kuwatafutia wapinzani vikazi vidogo vidogo inapojitokeza. Wakipata vikazi vya kufanya wakawa bize, kelele nazo zinapungua
 
Ajenda ya katiba mpya ni ajenda ya wanasiasa wanaotamani kurejea bungeni 'kiaina' baada ya kudondokea pua kwenye uchaguzi mkuu uliopita.

Kwa kuwa njaa imekuwa kali, ningweshauri wakubwa waunde review commission inayojumuisha wanasiasa wa upinzani, kila chama cha siasa kipewe viti ishirini vyenye hadhi za kibunge ili kuangalia maeneo yenye mapungufu ya katiba iliyopo na namna ya kuiboresha... 'Just to buy time' na kupunguza kelele za wanasiasa kwa kuwamegeapo nao katonge watoto wasife njaa, huku sisi tukiendelea kujenga nchi.

Commission hii itatakiwa kufanya kazi zake kimya kimya kwa kipindi kisichozidi miezi 24 ambapo kila chama kitakabidhi ripoti yao kwa spika wa bunge. No mikutano wala mijadala ya wazi.
Vikao vya tume hii vinaweza kufanyikia kwenye conference rooms za ofisi ya Bunge Dom au Dar.
If this happens, the katiba mpya agenda will be killed that way!
Mkuu si vizuri kuwa shortsighted.
Hata Mwalimu kabla hajafa alishaonya juu ya Katiba iliyopo.
Tuitzame Katiba hii tunayoitumia ili iweze kukidhi maswala ya miaka 100 baadaye.
 
Ok. Hakuna aliyekataa. Katiba ni kitu kikubwa mno. Huwezi amka leo ukasema unahitaji katiba ibadilishwe. Ndio maana nimesema hapo chini kwamba inabidi kuwe na preliminary review ku establish Gap (analysis) na nimependekeza kila chama cha siasa chenye usajili wa kudumu kipewe kandarasi ya kufanya hiyo Gap Analysis. Pia nikapendekeza katika kandarasi hiyo, kila chama kipewe nafasi za wanasiasa 20 watakao lipwa kwa hadhi ya mbunge na wafanye kandarasi hii kwa muda wa miezi 24 hadi kuwasilisha ripoti yao kwa mh spika.
 
Mbona tuna wanasheria wazalendo wazuri tu wanaoweza kuifanya kazi hiyo.
 
Mimi ni mwana CCM, kwanza nakubaliana na mama Samia kuwa tuwe na subra juu ya Katiba Mpya. Lakini mbadiliko ya Katiba ni lazima yatokee kuziba mapungufu makubwa tuliyoyaona Awamu ya Tano.

Mifano ya mambo tuliyaona yakikiukwa wazi wazi Awamu ya Tano:
1. Rais Lazima awajibike kwa Wananchi kupitia Bunge.

2. Mihimili yote, Serikali, Bunge na Mahakama isiingiliwe kiutendaji na mhimili mwingine, na iwe kosa la jinai kufanya hivyo.

3. Serikali lazima ichukuliwe hatua kama CAG aikiona mapungufu makubwa katika matumizi yasiyoidhinishwa(kumbuka 1.5Trilloin).

4. Kiongozi atakayekiuka Haki za Binadamu lazima awajibishwe.

5. Ukomo wa Rais kutoshitakiwa uwe wakati akiwa madarakani tu(Trump leo anashitakiwa kwa kukwepa kodi).

6. Serikali isiingiie Mihimili mingine( mfano Rais kumfukuza kazi CAG baada ya kugundua matumizi yasiyoidhinishwa na Bunge ya 1.5 tril).

7. Kuingilia mchakato wa uchaguzi iwe kosa la jinai kwa kiongozi yeyote-hata wana CCM wanajua kuwa uchaguzi wa 2020 haukuwa uchaguzi halali bali kiongozi kawachagua awapendao kuingia Bunge. Aibu ya wabunge wa chama upinzani 19, ni tusi kwa demokrasia.

8. Uhuru wa kuongea, na kutoa maoni, mradi mtu havunji sheria(Makamba na Kinana walichukuliwa hatua kwa kudukuliwa na kuongea ya kwao ya moyoni).

9...
10...
11...

Haya wana CCM, bado tunakumbuka yaliyompata mzee Mangula. Nchi ingekuwa ya kuwajibika na mihimili imekaa sawa kwa katiba yenye uwezo na nguvu, waliompa sumu wangekuwa wamesha wajibishwa.
Lazima pawepo REAL CHECKS AND BALANCE katika execution ya duties zote za kiserikali.
Uwezekano wa kuwa na katiba mpya kwa utashi wa serikali ya CCM haupo. Ni sawa na kumwambia mtu mwenye akili timamu ajiwekee kitanzi shingoni. Kikwete alitamani sana kujiwekea legacy ya kukamilishwa hilo, hatua ya mwisho akaambiwa kwa mdomo wako mwenyewe nenda bungeni kasitishe.
 
Nafikiri tujadili Katiba kwa kutazama yale yaliyotokea Awamu ya Tano.
Hata kina Kikwete walionja joto ya Jiwe.
 
Hii kazi sio ya wanasheria. Ni kazi ya wanasiasa. Ni kazi inayohitaji political content ya kiasi kikubwa ili kuondoa migogoro ya kisiasa.
Nope!
Kazi ya Katiba mpya uratibu ni wataalam wa sheria , mwanansiasa anavutia kwake tu.
 
Mimi ni mwana CCM, kwanza nakubaliana na mama Samia kuwa tuwe na subra juu ya Katiba Mpya. Lakini mbadiliko ya Katiba ni lazima yatokee kuziba mapungufu makubwa tuliyoyaona Awamu ya Tano.

Mifano ya mambo tuliyaona yakikiukwa wazi wazi Awamu ya Tano:
1. Rais Lazima awajibike kwa Wananchi kupitia Bunge.

2. Mihimili yote, Serikali, Bunge na Mahakama isiingiliwe kiutendaji na mhimili mwingine, na iwe kosa la jinai kufanya hivyo.

3. Serikali lazima ichukuliwe hatua kama CAG aikiona mapungufu makubwa katika matumizi yasiyoidhinishwa(kumbuka 1.5Trilloin).

4. Kiongozi atakayekiuka Haki za Binadamu lazima awajibishwe.

5. Ukomo wa Rais kutoshitakiwa uwe wakati akiwa madarakani tu(Trump leo anashitakiwa kwa kukwepa kodi).

6. Serikali isiingiie Mihimili mingine( mfano Rais kumfukuza kazi CAG baada ya kugundua matumizi yasiyoidhinishwa na Bunge ya 1.5 tril).

7. Kuingilia mchakato wa uchaguzi iwe kosa la jinai kwa kiongozi yeyote-hata wana CCM wanajua kuwa uchaguzi wa 2020 haukuwa uchaguzi halali bali kiongozi kawachagua awapendao kuingia Bunge. Aibu ya wabunge wa chama upinzani 19, ni tusi kwa demokrasia.

8. Uhuru wa kuongea, na kutoa maoni, mradi mtu havunji sheria(Makamba na Kinana walichukuliwa hatua kwa kudukuliwa na kuongea ya kwao ya moyoni).

9...
10...
11...

Haya wana CCM, bado tunakumbuka yaliyompata mzee Mangula. Nchi ingekuwa ya kuwajibika na mihimili imekaa sawa kwa katiba yenye uwezo na nguvu, waliompa sumu wangekuwa wamesha wajibishwa.
Lazima pawepo REAL CHECKS AND BALANCE katika execution ya duties zote za kiserikali.
Niulize tu!
Hivi kwa manufaa ya umma, Rais anaruhusiwa kukubambika kesi?
 
Hili limefanywa sana na Rais aliyepita.
Ubambikaji kesi za uhujumu uchumi ndio haswa alipendelea.
Hili alitumia haswa kumkomoa kisiasa mtu aliyemkosoa hadharani.

Mzee Shamte wa Katani hadi kafia jela.

Katiba mpya iliyorekebishwa lazima iondoe haya madudu.
 
Mimi ni mwana CCM, kwanza nakubaliana na mama Samia kuwa tuwe na subra juu ya Katiba Mpya. Lakini mbadiliko ya Katiba ni lazima yatokee kuziba mapungufu makubwa tuliyoyaona Awamu ya Tano.

Mifano ya mambo tuliyaona yakikiukwa wazi wazi Awamu ya Tano:
1. Rais Lazima awajibike kwa Wananchi kupitia Bunge.

2. Mihimili yote, Serikali, Bunge na Mahakama isiingiliwe kiutendaji na mhimili mwingine, na iwe kosa la jinai kufanya hivyo.

3. Serikali lazima ichukuliwe hatua kama CAG aikiona mapungufu makubwa katika matumizi yasiyoidhinishwa(kumbuka 1.5Trilloin).

4. Kiongozi atakayekiuka Haki za Binadamu lazima awajibishwe.

5. Ukomo wa Rais kutoshitakiwa uwe wakati akiwa madarakani tu(Trump leo anashitakiwa kwa kukwepa kodi).

6. Serikali isiingiie Mihimili mingine( mfano Rais kumfukuza kazi CAG baada ya kugundua matumizi yasiyoidhinishwa na Bunge ya 1.5 tril).

7. Kuingilia mchakato wa uchaguzi iwe kosa la jinai kwa kiongozi yeyote-hata wana CCM wanajua kuwa uchaguzi wa 2020 haukuwa uchaguzi halali bali kiongozi kawachagua awapendao kuingia Bunge. Aibu ya wabunge wa chama upinzani 19, ni tusi kwa demokrasia.

8. Uhuru wa kuongea, na kutoa maoni, mradi mtu havunji sheria(Makamba na Kinana walichukuliwa hatua kwa kudukuliwa na kuongea ya kwao ya moyoni).

9...
10...
11...

Haya wana CCM, bado tunakumbuka yaliyompata mzee Mangula. Nchi ingekuwa ya kuwajibika na mihimili imekaa sawa kwa katiba yenye uwezo na nguvu, waliompa sumu wangekuwa wamesha wajibishwa.
Lazima pawepo REAL CHECKS AND BALANCE katika execution ya duties zote za kiserikali.
Baeleze Baeleze
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom