RC Chalamila: Wengine nimesikia kwenye mijadala Hayati Magufuli alikuwa Dikteta. Ukimwona anaanza kuongea wakati Rais amefariki huo mjadala ni hewa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albart Chalamila amefikia hatua ya kusema hayo baada ya kuona watu wanasaau kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea Maendeleo katika Kaya Zao na Serikali na badala yake wanakaa na kumjadili aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muhungano wa Tanzania, Hayati Daktari John Pombe Magufuli na kumsema alikuwa mbabe.

Chalamila ameyasema hayo akiwa Wilayani Chunya Mkoani Mbeya wakati akiongea na wachimbaji wadogo wa Madini na kuwataka kuendelea kuchapa kazi, Kama ambavyo Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassani anavyosema kazi ziendelee.

"wengine nimesikia kwenye mijadala Rais Magufuli alikuwa dikteta ukimwona mtu anatokea sasa ivi anaanza kuongea wakati aliekuwa Rais amefariki ujue huo ni mjadala hewa,sasa ndugu zangu msijiingize kwenye Mijadala hiyo, mjadala sahihi utakao tutoa kimaisha ni kazi sio mijadala hewa kwasababu kama kuongea jambo lenye maana basi ilifaa mfikishie ujumbe wakati akiwa hai mkianaza kueleza mambo ambayo yeye amefariki mnatuchosha akili nazo stack

Tunataka mfanye kazi, ndio maana na sisi tumekuja hapa kuwaamasisha kuwa mwendelee na kazi mjadala wa kweli ni kazi iendeleemjadala wa kweli nikuuliza umeme uko wapi,mjadala wa kweli nikuuliza mbona barabara haijatengenezwa, mjadala wa kweli nikusema mbona mawasiliano hamna, mjadala wa kweli nikusema hapa kuna watu wanatudai kodi wanatunyanganya kwa nguvu,mjadala wa kweli ni tupate vituo vya afya vizuri, mjadala wa kweli tupate shule nzuri,mjadala wa kweli tuwe na maisha bora mijadala hewa tuipotezee haitatufikisha tunakokwenda."

Millard Ayo
 
Huyo siku zake zinahesabika kwenye hiyo nafasi. Ni wakati sasa wa kurejesha ule utaratibu wa zamani wa kuteua watu smart na wanao jitambua, kushika nafasi nyeti serikalini.

Badala ya hawa Mataga. Maana mungu wao ameshaondoka zake na kuwaacha yatima.
 
Huyo ni Chukizo
tenor.gif
 
Huyo Kwanza ndo alituambia kapigiwa simu na Hayati kipind ambacho mzee alkuwa akipambania uhai wake.
 
Watu wameongea na wamebambikizwa kesi zisizo na kichwa wala miguu na wengine wakapigwa RISASI kibao mwilini! Hebu akademke huko na ngoma ya awamu ya tano atuache sisi tusonge mbele na Mama Samia wetu.Watanzania tusonge mbele yaliyopita yamepita mazuri tunaendelea nayo ,mengine yasiyo tuhusu huko yabaki
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albart Chalamila amefikia hatua ya kusema hayo baada ya kuona watu wanasaau kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea Maendeleo katika Kaya Zao na Serikali na badala yake wanakaa na kumjadili aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muhungano wa Tanzania, Hayati Daktari John Pombe Magufuli na kumsema alikuwa mbabe.

Chalamila ameyasema hayo akiwa Wilayani Chunya Mkoani Mbeya wakati akiongea na wachimbaji wadogo wa Madini na kuwataka kuendelea kuchapa kazi, Kama ambavyo Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassani anavyosema kazi ziendelee.

"wengine nimesikia kwenye mijadala Rais Magufuli alikuwa dikteta ukimwona mtu anatokea sasa ivi anaanza kuongea wakati aliekuwa Rais amefariki ujue huo ni mjadala hewa,sasa ndugu zangu msijiingize kwenye Mijadala hiyo, mjadala sahihi utakao tutoa kimaisha ni kazi sio mijadala hewa kwasababu kama kuongea jambo lenye maana basi ilifaa mfikishie ujumbe wakati akiwa hai mkianaza kueleza mambo ambayo yeye amefariki mnatuchosha akili nazo stack

Tunataka mfanye kazi, ndio maana na sisi tumekuja hapa kuwaamasisha kuwa mwendelee na kazi mjadala wa kweli ni kazi iendeleemjadala wa kweli nikuuliza umeme uko wapi,mjadala wa kweli nikuuliza mbona barabara haijatengenezwa, mjadala wa kweli nikusema mbona mawasiliano hamna, mjadala wa kweli nikusema hapa kuna watu wanatudai kodi wanatunyanganya kwa nguvu,mjadala wa kweli ni tupate vituo vya afya vizuri, mjadala wa kweli tupate shule nzuri,mjadala wa kweli tuwe na maisha bora mijadala hewa tuipotezee haitatufikisha tunakokwenda."

Millard Ayo
What else do you expect to hear from an opportunist (AKA Mr. LAMBA-LAMBA) !!??
 
Huyo Chalamila aache porojo zake za kijinga !!!
Huyu si ndo alitaka kuwaingiza chaka Watz wakti Hayati Magufuli alishafariki lakini yeye akaanza kulaghai watu ati, keshaongea na Rais hajambo kabisa na anapiga kazi na ati kawasalimia Wanambeya! Watu wanatakiwa aamwulize aliwezaje kuongea na Marehemu???
Ma-RC kabila hii wene kimbelembele wanatakiwa kupumzishwa mara moja kwani wanaweza kumpotosha Mhe. Rais kwa unafiki wao wa kipuuzi. Mama Samia na ampumzishe kwene uteuzi wa DC na RCs unaokuja soonest!!
 
Chalamila, Ole Sabaya na Kihongosi wasipoondolewa kwenye uongozi na utawala mpya nitastaajabu sana.
Hawaondolewi sasa tuone utakavyostaajabu, kwanza kwani we ni nani mpaka ulazimishe kwa ufinyu wako wa akili fulani aondolewe!!?
 
Na wewe nnani kwa uzezeta wako unayelazimisha WASIONDOLEWE??
Hawana sifa ya kuwa Viongozi wa Umma kwa namna ya matendo yao kikazi.
Mzee Mwinyi keshasema.....Kila zama na kitabu chake. Hizi ni zama za Mama Samia Suluhu Hassan not Hayati Magufuli na tayari kimeshafunguliwa kitabu kingine kabisa....!!
 
Wapinzani mnanataka huyu jamaa aondolewe ili serikali chini ya uongozi wa mama ifanye vizuri zaidi!!. Hakuna kipindi ambacho mmeyumba kama safari hii.
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albart Chalamila amefikia hatua ya kusema hayo baada ya kuona watu wanasaau kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea Maendeleo katika Kaya Zao na Serikali na badala yake wanakaa na kumjadili aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muhungano wa Tanzania, Hayati Daktari John Pombe Magufuli na kumsema alikuwa mbabe.

Chalamila ameyasema hayo akiwa Wilayani Chunya Mkoani Mbeya wakati akiongea na wachimbaji wadogo wa Madini na kuwataka kuendelea kuchapa kazi, Kama ambavyo Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassani anavyosema kazi ziendelee.

"wengine nimesikia kwenye mijadala Rais Magufuli alikuwa dikteta ukimwona mtu anatokea sasa ivi anaanza kuongea wakati aliekuwa Rais amefariki ujue huo ni mjadala hewa,sasa ndugu zangu msijiingize kwenye Mijadala hiyo, mjadala sahihi utakao tutoa kimaisha ni kazi sio mijadala hewa kwasababu kama kuongea jambo lenye maana basi ilifaa mfikishie ujumbe wakati akiwa hai mkianaza kueleza mambo ambayo yeye amefariki mnatuchosha akili nazo stack

Tunataka mfanye kazi, ndio maana na sisi tumekuja hapa kuwaamasisha kuwa mwendelee na kazi mjadala wa kweli ni kazi iendeleemjadala wa kweli nikuuliza umeme uko wapi,mjadala wa kweli nikuuliza mbona barabara haijatengenezwa, mjadala wa kweli nikusema mbona mawasiliano hamna, mjadala wa kweli nikusema hapa kuna watu wanatudai kodi wanatunyanganya kwa nguvu,mjadala wa kweli ni tupate vituo vya afya vizuri, mjadala wa kweli tupate shule nzuri,mjadala wa kweli tuwe na maisha bora mijadala hewa tuipotezee haitatufikisha tunakokwenda."

Millard Ayo
Huyu katuni afanye kazi yake aachane na mambo ya mfu. Yeye ameenda kuangalia migodi ya madini, haya ya Magufuli kusemwa yanahusiana nini? BTW huyu mjinga so ndio alisema ameongea na Magu kwa simu ingali mwendazake alikuwa amededi? Huyu atafute kikundi cha wachekeshaji ajiunge especially wale wanaozunguka kwenye mabar
 
Back
Top Bottom