Naona serikali siku hizi imekuwa hodari sana wa kupokea ushauri wa tozo za serikali kwa kisingizio cha uzalendo bila hata kuzifanyia utafiti wa kina kuona kama kuna socioeconomic impacts za tozo...
Bado Tanzania ni nchi salama sana kuishi. Kwanini? Watu wake ni wapole na waliomtanguliza Mungu. Hata kwenye haki zetu huwa "Tunamwachia Mungu" na kuendelea na maisha kama kawaida tena kwa furaha...
Kufuatia matukio matatu ya moto katika Shule ya Sekondari Geita ndani ya siku saba na kusababisha wanafunzi watatu kujeruhiwa, maabara na darasa kuteketea kwa moto, mkuu wa Mkoa wa Geita...
Wana jamvi poleni na misuko suko ya kujitafutia ridhiki huku tukiwa ktk tahadhali kubwa ya janga la corona.
Nauliza hivi ni kwa kasi ya aina gani Mwigulu aliweza kuandika na kubandika maneno ya...
"Ile hela ntakutumia kwenye FIKOSHI, utaipokea Buzurugwa, Ahsante."
Hivi ni vibonzo vilivyosambaa mitandaoni hivi sasa, Yawezekana ikawa ni kweli huu utaratibu wa kutumiana pesa manually ama...
Kama serikali imeona umuhimu wa kuwalipisha kodi watanzania wanaoishi nje lakini hutuma pesa nyumbani kwa kwa ndogu zao, basi wakati umefika kwa serikali hiyo kutambua kuwa watanzania hao si adui...
Hii ni taarifa ya Mwigulu mwenyewe
"Bodi ya wakurugenzi wa Benki ya Dunia imeidhinisha mikopo ya masharti nafuu kwa Tanzania. Mikopo hiyo yenye thamani ya Shilingi trilioni 2.3 ni kwa ajili ya...
Ikiwa leo ndiyo siku rasmi ya kuanza kutumika kodi kutoka kwenye miamala ya simu za rununu tayari tumeanza kumulikwa na wanao jua utawala bora.
Nchini Ujerumani kituo cha radio cha kimataifa cha...
Ifuatayo ni orodha ya nchi kulingana na ufanisi wa kuweza kufanya money laundering yaani kutakatisha fedha chafu.
Tanzania ni ya 27 nyuma ya Uganda na Kenya.
Nini maoni yako kuhusu nafasi hii ya...
Hivi huduma inayotolewa na mawakili ambayo ni huduma aghali sana inakatwa kodi? Kama haikatwi kodi sababu ni nini?
Je Rais wa TLs anaonaje juu ya gharama zinazotozwa na mawakili kwa wateja wao...
Habari za jioni!
Kuna kundi lililokuwa linadai mabadiliko na kuilaumu serikali lakini kumbe kundi hili lilikuwa linakwepa kodi kiasi cha kusababisha hazina kukosa fungu kwaajili ya mabadiliko ...
Nimejaribu kuangalia uwekezaji wa baadhi ya makampuni hasa haya makampuni ya simu nikaona kuwa yanatumia gharama kubwa sana.
Hii inanifanya nifikirie kuwa kuna umuhimu wa kuwa na regulatory body...
Hii hoja ya kuvipa vyama vya siasa ruzuku haina mantiki tena kwani inavyoonekana vyama vyote vinajipambanua kukua na kukomaa.
Ikiwa kiukweli tunataka kuvuka kutoka nchi ya kuombaomba na kuwa...
Hapa mtaani ninapoishi kuna shule ya sekondari jirani, tena ni o-level. Sasa tangu wiki iliyopita kuna shamra shamra nazisikia, kumbe wanafanya kampeni za uchaguzi wa serikali ya wanafunzi. Jana...
Mtu mnafiki amelaaniwa Duniani na Mbinguni. Na amtegemeaye mnafiki kamwe hawezi kufanikiwa.
Kwa mujibu wa katiba, chombo cha kwanza cha kumshauri Rais ni Baraza la Mawaziri. Rais anatakiwa...
Huu ndiyo ukweli wenyewe. Wajenge shule, zahanati, waajiri wataalamu na wahakikishe madawati wanapeleka kila mwanafunzi akalie dawati. Kuna umhimu gani wa kutozana kodi kama watoto wataendelea...
Mbunge wa Musoma vijijini, Prof Muhongo amesema siyo kumbukumbu nzuri kumtengenezea sanamu marehemu au hayati na badala yake ni kheri fedha hizo zikatumike kujenga taasisi ya kuhudumia jamii kwa...
Ifikie mahali Watanzania wote tukubaliane kuwa hata kama chama tawala hampendi upinzani lakini kuna umuhimu wa wabunge wao kuwepo bungeni.
Fikiri kuhusu hizi tozo zinazoumiza ambazo zimeongezwa...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa...