The lost
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,695
- 8,209
Huu ndiyo ukweli wenyewe. Wajenge shule, zahanati, waajiri wataalamu na wahakikishe madawati wanapeleka kila mwanafunzi akalie dawati. Kuna umhimu gani wa kutozana kodi kama watoto wataendelea kukaa chini? kama zahanati zitakosa wahudumu wa afya, kama wananchi tutaendelea kutoa maeneo yetu bure kwa miradi huku tukibaki masikini nao wakibaki matajiri. Kuanzia sasa hakuna mchango ambao utakuwa halali tena kutolewa kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa.