jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,533
Hivi huduma inayotolewa na mawakili ambayo ni huduma aghali sana inakatwa kodi? Kama haikatwi kodi sababu ni nini?
Je Rais wa TLs anaonaje juu ya gharama zinazotozwa na mawakili kwa wateja wao ambao kwa kiasi kikubwa ni masikini?
Je waziri mpya wa sheria anaonaje kuhusu suala la mtu kupata huduma ya uwakili? Is it a service au biashara? Je anaonaje kuhusu kuweka regulation ya kumlinda mteja?
Kuhusu waziri wa fedha je haoni hili suala kuwa ni zaidi ya tata na inatakiwa tuongeze vyanzo vya mapato?