Mwigulu alitumia robot kuandika nchi nzima?

Mwigulu alitumia robot kuandika nchi nzima?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,252
Reaction score
98,255
Wana jamvi poleni na misuko suko ya kujitafutia ridhiki huku tukiwa ktk tahadhali kubwa ya janga la corona.

Nauliza hivi ni kwa kasi ya aina gani Mwigulu aliweza kuandika na kubandika maneno ya kujipigia kampeini nchi mzima tena ktk sehemu nyingine za kutisha kama hizo hapo chini?

Au alitumia robot? Tafadhali mwenye kujua hilo atufahamishe.
Screenshot_20200415-224409.jpeg

In God we Trust
 
Wana jamvi poleni na misuko suko ya kujitafutia ridhiki huku tukiwa ktk tahadhali kubwa ya janga la corona.

Nauliza hivi ni kwa kasi ya aina gani Mwigulu aliweza kuandika na kubandika maneno ya kujipigia kampeini nchi mzima tena ktk sehemu nyingine za kutisha kama hizo hapo chini?

Au alitumia robot? Tafadhali mwenye kujua hilo atifahamishe. View attachment 1420220

In God we Trust
Alijua mawe yanapiga kura,nilikuwa namkubali sana ila kwa lengo lake la kutokuwa transparent katika Covid,simkubali tena.
 
Polution na kuharibu mazingira apigwe faini na ayafute.., Kila Tom, Dick and Harry wakichora na ku-deface public places patakuwa hapatoshi. In short huu ni ushamba...
 
Back
Top Bottom