funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,421
- 31,922
Habari za jioni!
Kuna kundi lililokuwa linadai mabadiliko na kuilaumu serikali lakini kumbe kundi hili lilikuwa linakwepa kodi kiasi cha kusababisha hazina kukosa fungu kwaajili ya mabadiliko !
Sisemi kuwa kutokulipa kodi sahihi na stahiki kwa wafanyabiashara ndio chanzo pekee cha upotevu wa mapato..la hasha bali ni eneo muhimu la kuingiza mapato.
Hebu piga hesabu ni mabasi mangapi yanatoka Dar kwenda Arusha na mangapi yanatoka Arusha kwenda Dar.
mabasi yote haya hupita katika hoteli au mighahawa ya kuuzia chakula tena kwa bei ya kutupa kiasi cha kuhisi kuwa wasafiri wote wako kwenye ziara za starehe.
Hebu assume kwa uchache kabisa hoteli itapokea mabasi 10 kutoka Arusha na 10 kutoka Dar. Yenye abiria sio chini ya 40 na kufanya jumla ya abiria kuwa 800.
Pia fanya assumption nyingine kuwa hoteli itapokea magari madogo SUVs 10 kutoka na kwenda Dar zenye abiria wawili kila mmoja na hivyo kufanya idadi ya abiria kuwa 40.
Jumlisha na idadi hapo juu utapata 840 hapo tunaongelea kipindi hiki ambacho sio cha sikukuu.
Ukifanya assumption ndogo tena kwamba kila abiria atatumia kale kapack cha chipsi na nyama kila moja ni sh. 7000 na maji au sodaya buku basi itakuwa kila mmoja atatumia sh.8000
Zidisha na wale watu 840 utapata 6,720,000/- kwa siku
Zidisha kwa siku 30 utapata 201,600,000/-
Hiyo ni fedha inayolingana na ile aliyoitoa Magufuli kununua vitanda Muhimbili hivi majuzi!
Point yangu sio kukodolea macho hiyo fedha bali point yangu ni kodi inayokusanywa kutoka kwenye hoteli hizi je ina uhalisia??
Nimeona maafisa wa TRA wakianza kupitapita kwenye hizi hoteli lakini bado sijaridhika na umakini wao wa kufuatilia ujanja ujanja wa wafanyabiashara hawa.
Hii Tanzania imeliwasana na wajanja wasio na huruma sasa ifike mahali turudi kwenye mstari na tukikomaa kidogo ile hisani ya watu wa Marekani n.k itaondoka.
Tusichangie kwa jazba !!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!