Mwendawazimu alikua anaua na kupora pesa , na wapambe wake ndio hawa hawa kina Mwigilu, Majaliwa na bi, Chokochoko.
Nchi bado ipo mikononi mwa waporoji.
Mkuu mbona umemsaha VP naye alikuwa sehemu ya mfumo wa wiziMwendawazimu alikua anaua na kupora pesa , na wapambe wake ndio hawa hawa kina Mwigilu, Majaliwa na bi, Chokochoko.
Nchi bado ipo mikononi mwa waporoji.
Taratibu mkuuManina nina zake yule
Watalipwa kwa mfumo wa watoto/wajukuu kupata elimu bure na kupanda mwendokasi.Mi nataka kujua huo mfumo mwingine atakaelipwa mtu badala ya cash yake
Kwani hawezi kupewa tax exemption,si hata ashukuru amepewa hata hiyo consideration.Mi nataka kujua huo mfumo mwingine atakaelipwa mtu badala ya cash yake
yote yako moyoniIla bibie wewe kama umeolewa sipati picha ndani kwako panafananaje, hujabandika mastika ya chadema na mbowe kweli kwenye ukuta
Mtekelezaji Mkuu akiwa Paul Makonda.Mwendazake alikuwa ni mporaji na dhulumati wa kiwango cha juu sana, ambaye alitumia madaraka yake vibaya. Huo mpango wa kumjengea sanamu ni upuuzi mtupu.