Watetea Legacy ya Mwendazake wazidi kuishiwa pumzi

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,926
31,169
Ni wazi watetea legacy ya mwendazake wamezidiwa vibaya sana.Ilikuwa ni kazi rahisi kupambana na CHADEMA,Team JK,Team kanda ya kambo sasa ni wazi watu wa makundi mbali mbali wameonyesha walichoshwa na mfumo au ukipenda utawala mbovu wa Mwendazake.

Nawasilisha.
 
"Nadhani tuwe waangalifu katika kuchagua, kuwepo na 'track record'. Huko nyuma tulishawahi kuchagua watu waliokwenda hospitali za vichaa, mtu ana kumbukumbu za taarifa za Mirembe (hospital ya vichaa) halafu unamuachia achukue nchi?" - Anthony Diallo
 
IMG_1705.jpg
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hapo nimemwona jinga lao akiwa na "bainokola"
Magonjwa mtambuka
Kawe alumn
Nigrastra sijui nini kule
Na wengine kama kina
Stroke na john the baptist
 
Ni wazi watetea legacy ya mwendazake wamezidiwa vibaya sana.Ilikuwa ni kazi rahisi kupambana na CHADEMA,Team JK,Team kanda ya kambo sasa ni wazi watu wa makundi mbali mbali wameonyesha walichoshwa na mfumo au ukipenda utawala mbovu wa Mwendazake.

Nawasilisha.
Aisee hata wakongwe kama nyie mnafungua nyuzi cheap kama hizi?
 
Bado wanahangaika na introduction, wakikaribia kumaliza wanasahau jambo wanaanza upya.

Legacy ngumu mno, ni kheri mwandika thesis ya masters .
 
Wakakimbia alafu kiwanda bora kabisa Afrika cha kufua zahabu kikajengwa, nchi ikaingia uchumi wa kati , mabilionea kama akina Laizer wakaibuka, mapato ya ccm yakatoka million 5 yakafikia billioni 20 kwa mwaka!

Tunamuonya Diallo yeye amekuwa mbunge na waziri kwa miaka 20 lakini hakuna wananchi wanachomkumbuka nacho ni kama tu hajawahi kuwa kiongozi
 
Back
Top Bottom