Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali inapoteza karibu Tsh. 3Trn kwa mwaka ktk bandari ya Dsm kwa sbb ya kukosa ufanisi wa kukusanya kodi na rushwa. Maeneo mengi serikali haijawekeza teknolojia ktk kukusanya mapato, hivyo...
1 Reactions
2 Replies
839 Views
Nimefika Tabora ndugu zangu, nimelia sana baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani. Magufuli, Magufuli, Magufuli, nimekuita mara tatu, najua hunisikii, ila Mungu atakulipa siku ya ufufuo...
63 Reactions
193 Replies
13K Views
Ndugu zangu Wana JF natangaza kwenu kusudi langu la kufungua shauri mahakama kuu kanda ya Dodoma nikitaka yafuatayo: 1. Mahakama izuie utukaji wa tozo mpya kwenye simu hadi pale shauri...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Halihitaji Maelezo , Swali langu hili limekaaje kikatiba au kisheria?? Kama si sahihi , je ni Kweli Dk Mwinyi ni Mam Samia wana nia ya kuheshimu katiba, sheria na kanuni hapa nchini?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kumekuwa na kupanda bei za bidhaa muhimu kama mafuta,sukari pamoja na vifaa vya Ujenzi,bila kusahau gharama za huduma kama vile vifurushi vya simu ama miamala ya kielectronic. Hii imegeuka kuwa...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Kama ulivyo kawaida ya salamu yetu, Mama anaupiga mwingi. Majibu: Mama Endelea kukamua Ushauri wa BURE kwa Mwigulu Ebu tafuta tozo hata kdg kwa watu Hawa, wape leseni kisanya hicho kidogo...
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Habari JF members, Naomba turejee kauli ya Rais wetu Samia alipokuwa anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari alipoulizwa kuhusu katiba mpya na siasa za majukwaa. Simple tu alijibu dhamira...
10 Reactions
48 Replies
4K Views
Dawa ya moto ni moto , Hata kama ni hatari lakini hakuna jinsi .
21 Reactions
69 Replies
6K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali ipo katika hatua za mwisho za kuagiza chanjo ya COVID19 Amesema ni muhimu iwepo ili anayetaka kuchoma aipate kiurahisi kwa kuwa matumizi ya chanjo hiyo...
16 Reactions
219 Replies
12K Views
Uwa na waza Kama leo mimi si raisi Ila roho inauma,kuona khali duni ya maisha ya watanzania na afrika kwa ujumla,tumekua ni bara la njaa ,vita na uchafu wakila aina,unao nifanya kusema ningekua...
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Nchi hii ni ya Amani, Magari ya washawasha ni mengi kuliko magari ya zimamoto. Akichangia katika kipindi cha malumbano ya hoja mchangiaji huyu amesema inashangaza kuwa na magari ya washawasha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumekucha! Vilio vya kutoridhika na utendaji wa serikali ambavyo vimekuwapo kwa miaka mingi, hatimaye sasa vinasikika kila kona: 1. Zinazoitwa tozo za uzalendo, 2. Kodi zaidi zikiwamo kwenye...
7 Reactions
56 Replies
4K Views
1. Umasikini uliokithiri (CCM matajiri) 2. Viongozi wabovu (CCM wanarithishana uongozi) 3. Elimu duni (watoto wa wanyonge) 4. Afya mgogoro (vifo vya mama na watoto) 5. Katiba mbovu (ili CCM...
17 Reactions
34 Replies
2K Views
Hali ni mbaya sana kwakweli tangu makato na tozo mpya zianze tarehe 14/07/2021 kwa wanafunzi wanaoomba vyuo na mikopo ya elimu ya juu na kufanya miamala ya simu kumewaumiza sana ukizingatia mzazi...
0 Reactions
2 Replies
977 Views
Wenzetu Wabunge wawe wakwanza kutumia kodi ya mshikamano kwa kulipwa kwa njia ya simu. Kwa kuwa wabunge wana mishahara mikubwa na malupulupu kibao ipendeze kodi hii ya mshikamano kila malipo ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi nilikua nafikiri kiingereza kingekua ni somo la kawaida kutoka shule ya Msingi mpaka Chuo kikuu. Alafu masomo mengine yote kuanzia shule ya Msingi mpaka chuo kikuu yangefundishwa kwa...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimetafakali sana sina jibu. Sasa hivi ukipata laki pesa ya kutumia ni kama Elfu therasini tu. Nyingine inaishia kwenye Makato ya Vocha za Simu, hela ya kutumia na kutokea, kodi ya Mafuta, kodi...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
KWANINI KATIBA MPYA NDANI YA TANZANIA NI MUHIMU? Tanzania ni nchi ya demokrasia na inaongozwa kwa kufuata sheria na muongozo wa katiba iliyopo ya mwaka 1977 .kwa mda mrefu wananchi wa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Awamu ya 5 iliumiza wengi kuanzia kwenye demokrasia, haki mpaka kwenye uchumi. Waliokuwa na uwezo, na mitaji mizuri, baadhi waliamua kuondoka kabisa na kufunga biashara zao Tanzania. Wapo...
10 Reactions
11 Replies
2K Views
Binafsi mie ni CCM toka mwaka 2011. Kilichotokea mwaka Jana ni aibu tupu, na ushenzi uliopitiliza, hivi inawezekanaje CCM tushide majimbo yote kiasi kile, inawezekanaje Magufuli ashinde kwa...
75 Reactions
167 Replies
14K Views
Back
Top Bottom