Kivipi Zanzibar itapata pesa zake katika hili ongezeko la kodi la miamala ya simu?

Isalia213

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
1,198
431
Hii kitu tayari imeshakuwa japo kwa asilimia kubwa inawaumiza wananchi walio wengi ishu yangu ndogo tu hapa vipi zanzibar itapewa pesa hii itajayopatikana katika kodi hii ya uzalendo maana na wao pia wamo katika watakaokatwa hizo pesa,

Je, watalipwa kutokana na kiwango watakao tumia hii hiduma kwa kule zenji au kutakuwa na asilimia fulani watakadiriwa na kupewa au hizo pesa zitakuwa za matumizi ya upande mmoja tu wa muungano kwa maendeleo yao.
 
Kwa nini hili la tozo halijagusa wazanzibari? Katiba mpya hapa inahitajika, muundo wa serikali ya muungano na mgawanyo wa mapato uanagliwe pia tusije kusanya kodi toka upande mmoja na kuliwa upande mwingine.
 
Back
Top Bottom