Wananchi hatupingi kuchangia shughuli za maendeleo kwaajili ya ustawi wa Taifa letu, lakini uchangiaji huo uwe unazingatia uhalisia wa maisha ya watanzania.
Wananchi tutambue kuwa hatuna wa...
Mkurugenzi wa Huduma za afya Dr Subi ametoa ufafanuzi kuhusu fomu ya ridhaa ya chanjo ya civid 19
Dr Subi amesema wanaotaka kuchanjwa watajaza fomu maalumu ya hiyari ya kutaka kuchanjwa na huo ni...
Makato mapya ya Miamala ya fedha katika Simu yanatisha, vipi Muamala mmoja ukatwe kodi mara mbili?
Tuanze pia kuonesha UZALENDO kwenye kukata KODI ya Uzalendo kwenye marupurupu yote wanayolipwa...
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Mbunge wa Tarime Mwita Waitara akifundisha somo la Hisabati katika Shule ya Sekondari Nyamwigura Tarime hivi karibuni.
#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari...
Naona makampuni ya simu yanaandika makato ya kampuni na kuyatenganisha na tozo ya Setikali lengo ikiwa ni kuonesha makato yameongezwa na tozo ya serikali.
Sasa tujiulize je haya makato ya sh lets...
Habari ya mchana!
Nimewaza sana sana leo, toka upinzani wa kweli uanze katika historia ya nchi yetu, ni wazi kuwa kuna kundi la watu ambao wameunda chama despite of their weakness lakini wamekuwa...
Hospitali nyingi karibia zote Tanzania zinaongozwa na waganga au Madaktari. Kuna cheo kinaitwa Mganga mfawidhi.
Lakini kwa jinsi mfumo wa uendeshaji ulivyo badirika kwa miaka ya sasa mtu kuwa...
Mh Waziri,
Nilisikiliza Hotuba ya Bajeti
Na kuelewa kuwa makato yanaendana na kiasi cha vocha unayoweka na nikaona sio mbaya ...solidarity fund..
Hotuba ile sikusikia ni tozo kwenye huduma za...
Hii nchi haina uongozi aiseee
Tumepigwa
Mama anaupiga mwingii
=====
Tozo mpya iliyoanzishwa na Serikali ya Awamu ya Sita kupitia mitandao ya simu na mafuta katika vyombo vya usafiri, zinaenda...
"Zao la korosho pekee linatutosha sana watu wa kusini kuondosha umasikini lakini chama tawala hawataki watu wa Kusini tuondokane na umasikini. Sasa dawa yao ni kuwaondosha madarakani" Isihaka...
Hii ni serikali iliyoongoza miaka 60. Baada ya miaka 60 ndio inakumbuka kujenga madarasa na zahanati kwa kunyanganya kidogo walichonacho. Lakini ikiaminisha watu kwamba nchi ni tajiri na ina...
Ingekuwa Watanzania wote wapo jamiiforum kwakweli leo watu wangepata maumivu makali maana thread zote watu wamehuzunishwa Sana na jinsi serikali yao inavyowaminya Bila huruma watu wake na kufanya...
Nimesikia baadhi ya viongozi na watendaji wa serikali wakisema kuwa Watanzania wanasubiri chanjo ili nao waungane na dunia katika mapambano dhidi ya Corona, Leo ningependa kujua hao Watanzania...
Kwa mara ya kwanza, naamini hatuna Bunge la wananchi.
Wabunge waliopo Bungeni, 75% huko CCM hawakuchaguliwa na wajumbe kwenye kura za maoni. Waliochaguliwa walipigwa chini, waliotakiwa na...
Vilio vinasikika kila pande za nchi sijui mwenzangu unalia ukiwa wapi?
Wakati ukilia na uchungu mwingi moyoni mwako ukumbuke kuelekeza machungu yako yote kudai katiba mpya!!Kwa katiba ile ya...
Baada ya uchaguzi wa mwaka jana vumbi kubwa lililobaki ni hili la kuhusu wabunge 19 ambao Chama chao hakiwatambua. Siku za mwanzo za sakata hili spika Ndugai alirudia mara kwa mara kuwa atawalinda...
Katiba inasema Bunge ni uwakilishi wa wananchi. Bunge ndiyo sauti ya wananchi, Bunge ndiyo kisemeo cha Wananchi. Mbali ya upatikanaji wa kimagumashi wa bunge la sasa, lakini wao wenyewe...
Hakika nilitarajiwa wanasheria wetu wangekuwa tayari wamefungua kesi mahakamani ya kupinga hii kodi mpya iliyotangazwa na serikali kwenye miamala. Wananchi tulio wengi hatuna ufahamu wa kusheria...
TUKIWA TUNAENDELEA NA KODI YA MSHIKAMANO KUNA HAYA MALALAMIKO TRA NI YA KWELI HAYA ??
"This is what taasisi zinatakiwa kudhibiti kuhakikisha kodi zinakusanywa sawa sawa, tulikosea njia tukaingia...
Habari!
Huhitaji kuwa na shahada ya taxation au uhasibu kujua kuwa pesa itakayokusanywa kupitia miamala ya simu na vocha kwa mwaka mmoja ni matrilioni.
Serikali inapaswa kuboresha sekta ya elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.