Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,005
- 9,872
Dkt. Edward Hosea, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) amesema anafurahi kuona wananchi wanatoa madukuduku yao kuhusu Katiba Mpya, ameiomba Serikali kulitazama jambo hilo.
Amesema ni vizuri kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu kuteua Kamati ya kuratibu suala la Katiba Mpya.
Amesema kamati inaweza kuleta Katiba Mpya au kuboresha Katiba iliyopo kukidhi mahitaji ya karne ya 21.