Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Hayati Benjamini Mkapa aliona mbali mwaka 2015 baada ya CCM iliyokuwa chini ya Jakaya kuwa imepoteza imani kwa wananchi. Mkapa aliona mbali na kuhakikisha taifa letu linapata kiongozi ambae atalinyoosha taifa lililopinda.
Ukweli ni kuwa hayati Mkapa ndie alieona umahiri wa hayati JPM kusimamia na kudhibiti wazembe na walarushwa. Ndio maana alimpa unaibu waziri ujenzi mwaka 1995 na kisha kuwa waziri kamili.
Tuseme ukweli bila chenga hayati Mkapa ndie aliyemuibua hayati Magufuli. Na kazi kubwa aliyoifanya hayati Magufuli kwa taifa letu kila mtu anaiona. Hili tuliweke wazi na kila mtu alitambue.
Idugunde wa Igunga Tabora.