Pendekezo: Ili kumuenzi Hayati Magufuli ianzishwe Magufuli Infrastructure Development Fund-MIDF

Mapendekezo

Member
Jun 11, 2021
28
39
Salamu kwa wanaJF.

Nina pendekezo la namna ya kumuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli tukizingatia huduma aliyoitoa katika kuendeleza miundombinu nchini Tanzania.

Ni vyema ukaanzishwa mfuko wa uchangiaji fedha ambazo zitagharamia ujenzi wa miundombinu mbalimbali haswa ya Madarasa,Vituo vya Afya na barabara.

Wapenzi na wafuasi wa kazi na falsafa za Magufuli waweze kuchangia katika mfuko huo.

Michango ya kuonesha soliderity iende huku.

Fedha za mfuko huo zitumike kuboresha miundombinu ya huduma.

Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu.
 
What about Nyerere? Mkapa je? Acheni huu upuuzi wa kumfanya Mwendazake kuwa kama malaika flani. Yote aliyofanya ni kwa fedha za walipakodi wa Tanzania. Lakini kama ni lazima kumuenzi, wapeni watoto wenu majina yake 😡
 
Naamini kuna namna ambazo zipo za kuwakumbuka Nyerere na Mkapa.
Hili ni pendekezo la namna nyingine ya kumkmbuka kiongozi.
Ni kweli aliyafanya kwa fedha za Serikali lakini ni ukweli kuwa alifanya kwa jitihada,uaminifu na ari kubwa.
 
Salamu kwa wanaJF.

Nina pendekezo la namna ya kumuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli tukizingatia huduma aliyoitoa katika kuendeleza miundombinu nchini Tanzania.

Ni vyema ukaanzishwa mfuko wa uchangiaji fedha ambazo zitagharamia ujenzi wa miundombinu mbalimbali haswa ya Madarasa,Vituo vya Afya na barabara.

Wapenzi na wafuasi wa kazi na falsafa za Magufuli waweze kuchangia katika mfuko huo.

Michango ya kuonesha soliderity iende huku.

Fedha za mfuko huo zitumike kuboresha miundombinu ya huduma.

Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu.
Nakataa.Magufuli alisema Tanzania ni tajiri sana.Sasa tuchangie nini tena?Tu-exploit rasilimali zetu ziwekwe kwenye hilo kapu.😝😝😝😝
 
Salamu kwa wanaJF.

Nina pendekezo la namna ya kumuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli tukizingatia huduma aliyoitoa katika kuendeleza miundombinu nchini Tanzania.

Ni vyema ukaanzishwa mfuko wa uchangiaji fedha ambazo zitagharamia ujenzi wa miundombinu mbalimbali haswa ya Madarasa,Vituo vya Afya na barabara.

Wapenzi na wafuasi wa kazi na falsafa za Magufuli waweze kuchangia katika mfuko huo.

Michango ya kuonesha soliderity iende huku.

Fedha za mfuko huo zitumike kuboresha miundombinu ya huduma.

Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu.
Tumuenzi kwa lipi? Hatuwezi kumuenzi mtawala aliyekuwa dikteta, mbakaji wa katiba, mvunjaji wa sheria, muasisi wa siasa za Chuki na kibaguzi, tuhuma kibao za ufisadi na wizi wa fedha za umma, aliyetesa na kupoteza raia wasio hatia kwa kutofautiana nao kisiasa, mi nafikiri ingetafutwa namna kumbukumbu zake zote zifutwe, huyu angetawala tena miaka mingine 5 nchi ingekuwa jehanamu, Mwenyezi Mungu alijibu maombi yetu 17 March 2021
 
Salamu kwa wanaJF.

Nina pendekezo la namna ya kumuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli tukizingatia huduma aliyoitoa katika kuendeleza miundombinu nchini Tanzania.

Ni vyema ukaanzishwa mfuko wa uchangiaji fedha ambazo zitagharamia ujenzi wa miundombinu mbalimbali haswa ya Madarasa,Vituo vya Afya na barabara.

Wapenzi na wafuasi wa kazi na falsafa za Magufuli waweze kuchangia katika mfuko huo.

Michango ya kuonesha soliderity iende huku.

Fedha za mfuko huo zitumike kuboresha miundombinu ya huduma.

Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu.
Dikteta huyo atakumbukwa na alshabaab wenzie
 
Muenzi wewe na shangazi zako!!
 
Back
Top Bottom