Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Ile hela ntakutumia kwenye FIKOSHI, utaipokea Buzurugwa, Ahsante." Hivi ni vibonzo vilivyosambaa mitandaoni hivi sasa, Yawezekana ikawa ni kweli huu utaratibu wa kutumiana pesa manually ama...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Kama serikali imeona umuhimu wa kuwalipisha kodi watanzania wanaoishi nje lakini hutuma pesa nyumbani kwa kwa ndogu zao, basi wakati umefika kwa serikali hiyo kutambua kuwa watanzania hao si adui...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ni taarifa ya Mwigulu mwenyewe "Bodi ya wakurugenzi wa Benki ya Dunia imeidhinisha mikopo ya masharti nafuu kwa Tanzania. Mikopo hiyo yenye thamani ya Shilingi trilioni 2.3 ni kwa ajili ya...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Ikiwa leo ndiyo siku rasmi ya kuanza kutumika kodi kutoka kwenye miamala ya simu za rununu tayari tumeanza kumulikwa na wanao jua utawala bora. Nchini Ujerumani kituo cha radio cha kimataifa cha...
11 Reactions
37 Replies
4K Views
Ifuatayo ni orodha ya nchi kulingana na ufanisi wa kuweza kufanya money laundering yaani kutakatisha fedha chafu. Tanzania ni ya 27 nyuma ya Uganda na Kenya. Nini maoni yako kuhusu nafasi hii ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi huduma inayotolewa na mawakili ambayo ni huduma aghali sana inakatwa kodi? Kama haikatwi kodi sababu ni nini? Je Rais wa TLs anaonaje juu ya gharama zinazotozwa na mawakili kwa wateja wao...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za jioni! Kuna kundi lililokuwa linadai mabadiliko na kuilaumu serikali lakini kumbe kundi hili lilikuwa linakwepa kodi kiasi cha kusababisha hazina kukosa fungu kwaajili ya mabadiliko ...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Nimejaribu kuangalia uwekezaji wa baadhi ya makampuni hasa haya makampuni ya simu nikaona kuwa yanatumia gharama kubwa sana. Hii inanifanya nifikirie kuwa kuna umuhimu wa kuwa na regulatory body...
2 Reactions
104 Replies
8K Views
Hii hoja ya kuvipa vyama vya siasa ruzuku haina mantiki tena kwani inavyoonekana vyama vyote vinajipambanua kukua na kukomaa. Ikiwa kiukweli tunataka kuvuka kutoka nchi ya kuombaomba na kuwa...
2 Reactions
79 Replies
6K Views
Hapa mtaani ninapoishi kuna shule ya sekondari jirani, tena ni o-level. Sasa tangu wiki iliyopita kuna shamra shamra nazisikia, kumbe wanafanya kampeni za uchaguzi wa serikali ya wanafunzi. Jana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mtu mnafiki amelaaniwa Duniani na Mbinguni. Na amtegemeaye mnafiki kamwe hawezi kufanikiwa. Kwa mujibu wa katiba, chombo cha kwanza cha kumshauri Rais ni Baraza la Mawaziri. Rais anatakiwa...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Huu ndiyo ukweli wenyewe. Wajenge shule, zahanati, waajiri wataalamu na wahakikishe madawati wanapeleka kila mwanafunzi akalie dawati. Kuna umhimu gani wa kutozana kodi kama watoto wataendelea...
2 Reactions
5 Replies
753 Views
Mbunge wa Musoma vijijini, Prof Muhongo amesema siyo kumbukumbu nzuri kumtengenezea sanamu marehemu au hayati na badala yake ni kheri fedha hizo zikatumike kujenga taasisi ya kuhudumia jamii kwa...
29 Reactions
56 Replies
5K Views
Ifikie mahali Watanzania wote tukubaliane kuwa hata kama chama tawala hampendi upinzani lakini kuna umuhimu wa wabunge wao kuwepo bungeni. Fikiri kuhusu hizi tozo zinazoumiza ambazo zimeongezwa...
16 Reactions
42 Replies
4K Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa...
8 Reactions
311 Replies
24K Views
Mbunge wa Kinondoni mh Tarimba Abbas amesema hajawahi kuandika popote kwamba wabunge wanapaswa kulipa kodi na kwamba ile twitter account siyo yake. Tarimba amekiri kuumizwa sana na uzushi huo na...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimekaa nikifikiria Kwanini pamoja na tozo zote hizo Watanzania hawasemi chochote Wanaharakati wanapiga kelele, Viongozi wa selikali wanatetea kodi hiyo, Kwanini nyie Wananchi tusiungane pamoja na...
1 Reactions
4 Replies
935 Views
Serikali inapoteza karibu Tsh. 3Trn kwa mwaka ktk bandari ya Dsm kwa sbb ya kukosa ufanisi wa kukusanya kodi na rushwa. Maeneo mengi serikali haijawekeza teknolojia ktk kukusanya mapato, hivyo...
1 Reactions
2 Replies
839 Views
Nimefika Tabora ndugu zangu, nimelia sana baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani. Magufuli, Magufuli, Magufuli, nimekuita mara tatu, najua hunisikii, ila Mungu atakulipa siku ya ufufuo...
63 Reactions
193 Replies
13K Views
Back
Top Bottom