Tarimba: Sikuwahi kusema Wabunge wanapaswa kuanza kulipa kodi, msinichonganishe hiyo tweet siyo yangu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,114
Mbunge wa Kinondoni mh Tarimba Abbas amesema hajawahi kuandika popote kwamba wabunge wanapaswa kulipa kodi na kwamba ile twitter account siyo yake.

Tarimba amekiri kuumizwa sana na uzushi huo na bado hajajua huyo mzushi nia yake ni nini hasa.

Wabunge wanalipa kodi zote kama wananchi wengine kwahiyo naomba msinichonganishe na wabunge wenzangu, amesisitiza Tarimba

Source: TBC Aridhio
 
Wao wanaumizwa kuambiwa walipe kodi. Ila wakiambiwa sisi wananchi ambao 95% ni wa hali ya chini tuongezewe kodi za mauwaji ya halaiki, wanafurahi na kupiga meza zao.

Hii nchi ina laana. Ndio maama wakoloni walikua anatuchapa viboko wakati wametutawala.
 
Mbunge wa Kinondoni mh Tarimba Abbas amesema hajawahi kuandika popote kwamba wabunge wanapaswa kulipa kodi na kwamba ile twitter account siyo yake.

Tarimba amekiri kuumizwa sana na uzushi huo na bado hajajua huyo mzushi nia yake ni nini hasa.

Wabunge wanalipa kodi zote kama wananchi wengine kwahiyo naomba msinichonganishe na wabunge wenzangu, amesisitiza Tarimba

Source: TBC Aridhio

Wabunge, Mawaziri na vigogo wote kuweni wazalendo nipeni kodi stahiki kama wengine tunavyolipa.

Ubinafsi wenu utawatokea puani.
 
Mbunge wa Kinondoni mh Tarimba Abbas amesema hajawahi kuandika popote kwamba wabunge wanapaswa kulipa kodi na kwamba ile twitter account siyo yake.

Tarimba amekiri kuumizwa sana na uzushi huo na bado hajajua huyo mzushi nia yake ni nini hasa.

Wabunge wanalipa kodi zote kama wananchi wengine kwahiyo naomba msinichonganishe na wabunge wenzangu, amesisitiza Tarimba

Source: TBC Aridhio
Akajibu kule agenda za Kigogo kuwa ametajirika na BIASHARA haramu
 
Wabunge wanapaswa kulipa Kodi, haiwezekani familiya chache ndiyo ziwe mstari wa mbele kutembea na opener kwa ajili ya kufungua vinywaji baada ya wavuja jasho kukamuliwa Kodi .
 
Tanzania nchi yangu nakupenda Sana.

Kwanini wabunge hawakatwi kodi mishahara yao?

Halafu mtu anayelipwa laki 3 anakatwa?
 
Mbunge wa Kinondoni mh Tarimba Abbas amesema hajawahi kuandika popote kwamba wabunge wanapaswa kulipa kodi na kwamba ile twitter account siyo yake.

Tarimba amekiri kuumizwa sana na uzushi huo na bado hajajua huyo mzushi nia yake ni nini hasa.

Wabunge wanalipa kodi zote kama wananchi wengine kwahiyo naomba msinichonganishe na wabunge wenzangu, amesisitiza Tarimba

Source: TBC Aridhio
Hakuna bunge hapo ni genge la matapeli tupu
 
Back
Top Bottom