Juu ya uchaguzi wa jimbo la Konde. "Kwa sababu mtu awe kiongozi marejeraha mabichi kuna watu wana majeraha mabichi kuna watu pamoja na watoto walemavu ina raha gani? Kwangu mimi haya ni mazito,na...
DKT CHAULA AZUNGUMZIA UWAJIBIKAJI WA PAMOJA POSTA
Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Zainab Chaula ameitaka Menejimenti ya Shirika la Posta Tanzania kufanya kazi kwa...
Wananchi wa kawaida ni wananchi ambao katika jamii ya Tanzania ni watu ambao wapo katika kundi ambalo wanaishi maisha duni.
Hawa ni watu ambao kipato chao sio cha uhakika na hivyo hata uhakika...
TANESCO hili shirika limekuwa likilalamikiwa na watu katika changamoto mbalimbali
1) Kufunga nguzo Bila kuunganisha
2) Rushwa kwa surveyor ili watembelee eneo husika
3)USambazaji wa Nguzo umeanza...
Nimeshangazwa na hili hapa kama ni kweli: Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya
Hivi inawezekanaje serikali (hapa...
Nimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini...
Nawaletea uzoefu wa nchi tajiri inayotupa misaada na namna inavyowakamuawananchi wake kulipa kodi
Taxes are imposed on net income of individuals and corporations by the federal, most state, and...
Ni zaidi ya miezi miwili na ushee tangu Rais Dr. JPJM apige kambi Chato. Tunajua Rais kama mkuu wa nchi anatembea na msafara wa walinzi, na delegates, maana kahamishia Ofisi huko kwa muda.
Rais...
Moja kati ya hazina na tunu chache Sana tulizobakiwa nazo Kama taifa ni huyu mzee JOSEPH SINDE WARIOBA Kwa msiomfahamu huyu mzee alizaliwa Bunda, Mkoa wa Mara, Septemba 3, mwaka 1940.
Mzee huyu...
Kwa matamko na kauli zinazoendelea kutoka ACT Wazalendo na ukilinganisha na tabia ya kiburi ya CCM naona kabisa ndani ya siku sitini kila moja atabeba chake huko Unguja.
ACT Wazalendo wakikaa...
Waziri wa kilimo Prof Mkenda amesema serikali imefuta utaratibu wa kuagiza mbilea kwa zabuni na kuanzia sasa wafanyabiashara wote wenye uwezo wanaruhusiwa kuingiza mbolea nchini.
Mkenda amesema...
JE NI KWELI KAAGIZWA? NI LAZIMA ASEME?
Sakata la CHADEMA na Polisi huko Mwanza lina harufu ya hujuma zifuatazo:
1. Je ni kweli Mh. Rais kaagiza kongamano lizuiwe?
2. Kama kaagiza kwa nini...
Kamishna wa Polisi Chagonja ameteuliwa na Rais Magufuli kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi.
Rais pia amemteua Kamishna wa Polisi Clowding Mtweve kuwa katibu tawala wa Mkoa wa Mwanza.
Chanzo: EATV
Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza, ametangaza kuendelea kufanyika Makongamano ya ndani...
Mbunge anakunja milioni ishirini na mbili (22,000,000/=) kwa mwezi lakini halipi kodi
Mbunge huyo huyo anatunga sheria ya kodi huku yeye akijipa kinga ya kutolipa kodi!
Pesa anazolipwa Mbunge...
Mambo ya kuogofya sasa yameanza kushika kasi na moja yake ni hili la mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Gabriel kupiga marufuku mikusanyiko yote isipokuwa misiba na ibada. Ukiondoa makusanyiko hayo...
MTIZAMO
AGIZO LA RAIS, WAZIRI WA FEDHA PAMOJA NA WAZIRI MKUU JUU YA MABADILIKO YA TOZO ZA MIAMALA
Wakati tozo mpya za miamala zinatangazwa, nilikuwa miongoni mwa watu waliounga mkono wazo hilo...
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Bwana Macrice Daniel Mbodo Leo tarehe 17 Julai ,2021 amefanya kikao na Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania Bara na...
CHAMA CHA MAPINDUZI
TAARIFA KWA UMMA
Chama Cha Mapinduzi tunapenda kuwashukuru wananchi wa Jimbo la Konde wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba kwa kuendelea kukiamini chama chetu na...