Serikali angalieni suala la Tanesco, maji , miamala na vifurushi vya simu

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
650
500
TANESCO hili shirika limekuwa likilalamikiwa na watu katika changamoto mbalimbali
1) Kufunga nguzo Bila kuunganisha
2) Rushwa kwa surveyor ili watembelee eneo husika
3)USambazaji wa Nguzo umeanza kudolola
4)Customer care Mbovu mfano mzuri Nyakato Mwanza wanamajibu ya ovyo kweli kuanzia Manager mpaka surveyor
5) Kama nguzo iko kwa jirani unaweza ukaenda tanesco mpaka Miguu ikaota vigimbi
6)Waziri tembelea miradi ujue changamoto
7)Form za wateja zinapotea na kupuuzwa

MAJI
Katika changamoto 70% Ya watanzania wanayokabiliana nayo ni swala la maji, Hili limekuwa kilio kwa wananchi hawaoni mikakati yoyote wala kipaumbele,tukijua maji yame!aba asilimia kubwa ya maisha ya Mwanadamu

Suala Airtime kwenye simu na miamala Hizi akili sijui nani kazitoa , watu wanavuta bange,na kulewa ndio wanatuletea mawazo Machafu namna hii ,Hivi hi Tz kuna watu hawajui kuna watu wanashinda njaa,watu wanahangaika hata kupata 10,000
ushauri wangu kwa serikali Angalieni Mambo yanayowagusa wananchi wengi achaneni na siasa za ugoro
 
TANESCO

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
3,410
2,000

Tafadhali tujulishe una changamoto gani haswa na TANESCO, eneo gani? Namna ya simu tuifanyie kazi mara moja.
 
Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
650
500
Tafadhali tujulishe una changamoto gani haswa na TANESCO, eneo gani? Namna ya simu tuifanyie kazi mara moja.
Nilishawapa Taarifa Zote lakini Mpaka leo Hii Hamjaonekana nitawa pm Niwatumie na form, Shida yenu Hamfatilii
 
Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
650
500
Tafadhali tujulishe una changamoto gani haswa na TANESCO, eneo gani? Namna ya simu tuifanyie kazi mara moja.

JamiiForums

Tunaomba taarifa kamili tafadhali​

•••
[IMG alt="TANESCO"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/234/234647.jpg?1408704674[/IMG]

TANESCO

Verified Member​

✅
Jul 2, 2021
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Ndokeji"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/45/45716.jpg?1328098654[/IMG]

Ndokeji

JF-Expert Member​

Jul 3, 2021

JamiiForums

SHIDA YA KUFUNGUWA UMEME​

•••
@
Ndokeji

Ndokeji

JF-Expert Member​

Tuesday at 5:38 AM
Jina Mkoa:Mwanza
Jina la wila:Magu
Jina La Mji :Kisesa
Jina la Mtaa:Iseni Bondeni B
Wahusika :Tanesco Nyakato
Mradi wameshafunga nguzo na nyaya week mbili zilizopita
Jina surveyor : Kimei
Phone no:0765167090
Changamoto
Ni eneo ambalo mpaka wananchi tumelalamika ndio likawekewa nguzo na nyaya kwa mda mrefu toka umeme ufungwe mtaa huu 2016
Leo hii wameweka nguzo na nyaya mpaka tunsforma ipo

Shida tunapofatilia tunambia hakuna gari, zipo mbili hazitoshi, surveyor wawili hawatoshi leo hii nawapa taarifa tanesco mtusaidie
Aje surveyor watuwekee umeme ,sasa wameweka nguzo jamani kama mapambo

Ni sehemu kubwa wote hatujawekewe ukifika tu hapa isen Bondeni B kisesa

Muulizeni Huyo surveyor anapajua

Quote Reply

Ndokeji said:

JamiiForums

SHIDA YA KUFUNGUWA UMEME​

•••
@
Ndokeji

@Ndokeji​

Click to expand...
Ahsante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidi

Asante Tutashukru kama mtatusaidia

Jul 7, 2021
Tanasco mbona hamsaidii huku kisesa isen B mmeshafunga nguzo mwezi mzima hata surveyor hajapita hivi kweli ingekuwa kipindi cha Magufuli mgefanya hayo

Jul 8, 2021

Nimeshawatumia hii ni mara ya tatu hakuna utekelezaji

Ahsante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidi.

Jul 9, 2021
Tanesco mmekuwa shirika la ovyo kabisa ,waongo ,mnaweka nguzo Mwezi mzima hakuna umeme kila siku nawapa taarifa Magunzo yamekuwa kama Mapambo sisi tukuishi gizani
Hapo nyakato Mwanza wamewashinda ovyo kabisa ,bora msingetuwekea hayo Manguzo tukaendelea kutumia solar zetu

Nimeriport mara nyingi hakuna hatua yoyote mnayachukua, Taarifa mnazo angalieni conversation nyingi nimewaelekeza lakini mnatufanyia unyama

Tafadhali onyesha taarifa kamili kwa hatua zaidi.

Nimeonesha hizi week nzima mnajibu tutafatilia mpaka leo, yaani mnakera kama wahadumu wenuJina Mkoa:Mwanza

fuentte

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
1,524
2,000
Tafadhali tujulishe una changamoto gani haswa na TANESCO, eneo gani? Namna ya simu tuifanyie kazi mara moja.
Nyie acheni kujionyesha kwamba mnajali sana mbele ya watu ila huduma zetu ni hovyo sana.
Kwani mnalipwa mishahara ya kukaa ofisini mkisubiri wateja wawajulishe matatizo mnayoyasababisha wenyewe?
Simu zenyewe zikipigwa hazipokelewi,zikipokelewa ufuatiliaji hakuna zero.
Mnakera sana nyie basi tu
 
Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
650
500
Umewapa Tanesco ngumi za uso safi sana
Nalog off
Hawa watu unatumia Taarifa zote wanapotezea kabisa yaani shirika sijui kinaelekea wapi ,nenda kwenye vituo vyao mpaka utahurumia wananchi , Hudumu zimekuwa ngumu kama unafatilia Hela ya Mafao
 
Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
14,510
2,000
Hawa watu unatumia Taarifa zote wanapotezea kabisa yaani shirika sijui kinaelekea wapi ,nenda kwenye vituo vyao mpaka utahurumia wananchi , Hudumu zimekuwa ngumu kama unafatilia Hela ya Mafao
Wana bahati sana ndio maana wanaringa, ingekuwa hili shirika lina mpinzani lingeshakuwa muflisi
Nalog off
 
50thebe

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
3,022
2,000
JamiiForums

Tunaomba taarifa kamili tafadhali​

•••
[IMG alt="TANESCO"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/234/234647.jpg?1408704674[/IMG]

TANESCO

Verified Member​

✅
Jul 2, 2021
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Ndokeji"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/45/45716.jpg?1328098654[/IMG]

Ndokeji

JF-Expert Member​

Jul 3, 2021
JamiiForums

SHIDA YA KUFUNGUWA UMEME​

•••
@
Ndokeji

Ndokeji

JF-Expert Member​

Tuesday at 5:38 AM
Jina Mkoa:Mwanza
Jina la wila:Magu
Jina La Mji :Kisesa
Jina la Mtaa:Iseni Bondeni B
Wahusika :Tanesco Nyakato
Mradi wameshafunga nguzo na nyaya week mbili zilizopita
Jina surveyor : Kimei
Phone no:0765167090
Changamoto
Ni eneo ambalo mpaka wananchi tumelalamika ndio likawekewa nguzo na nyaya kwa mda mrefu toka umeme ufungwe mtaa huu 2016
Leo hii wameweka nguzo na nyaya mpaka tunsforma ipo

Shida tunapofatilia tunambia hakuna gari, zipo mbili hazitoshi, surveyor wawili hawatoshi leo hii nawapa taarifa tanesco mtusaidie
Aje surveyor watuwekee umeme ,sasa wameweka nguzo jamani kama mapambo

Ni sehemu kubwa wote hatujawekewe ukifika tu hapa isen Bondeni B kisesa

Muulizeni Huyo surveyor anapajua

Quote Reply
Report
[IMG alt="TANESCO"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/234/234647.jpg?1408704674[/IMG]

TANESCO

Verified Member​

✅
Jul 3, 2021

Ahsante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidi

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Ndokeji"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/45/45716.jpg?1328098654[/IMG]

Ndokeji

JF-Expert Member​

Jul 3, 2021
Asante Tutashukru kama mtatusaidia

Quote Reply
Report
[IMG alt="Ndokeji"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/45/45716.jpg?1328098654[/IMG]

Ndokeji

JF-Expert Member​

Jul 7, 2021
Tanasco mbona hamsaidii huku kisesa isen B mmeshafunga nguzo mwezi mzima hata surveyor hajapita hivi kweli ingekuwa kipindi cha Magufuli mgefanya hayo

Quote Reply
Report
[IMG alt="TANESCO"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/234/234647.jpg?1408704674[/IMG]

TANESCO

Verified Member​

✅
Jul 7, 2021

Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Ndokeji"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/45/45716.jpg?1328098654[/IMG]

Ndokeji

JF-Expert Member​

Jul 8, 2021
Jina Mkoa:Mwanza
Jina la wila:Magu
Jina La Mji :Kisesa
Jina la Mtaa:Iseni Bondeni B
Wahusika :Tanesco Nyakato
Mradi wameshafunga nguzo na nyaya week mbili zilizopita
Jina surveyor : Kimei
Phone no:0765167090
Changamoto
Ni eneo ambalo mpaka wananchi tumelalamika ndio likawekewa nguzo na nyaya kwa mda mrefu toka umeme ufungwe mtaa huu 2016
Leo hii wameweka nguzo na nyaya mpaka tunsforma ipo

Shida tunapofatilia tunambia hakuna gari, zipo mbili hazitoshi, surveyor wawili hawatoshi leo hii nawapa taarifa tanesco mtusaidie
Aje surveyor watuwekee umeme ,sasa wameweka nguzo jamani kama mapambo

Ni sehemu kubwa wote hatujawekewe ukifika tu hapa isen Bondeni B kisesa

Muulizeni Huyo surveyor anapajua

Quote Reply
Report
[IMG alt="Ndokeji"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/45/45716.jpg?1328098654[/IMG]

Ndokeji

JF-Expert Member​

Jul 8, 2021
Nimeshawatumia hii ni mara ya tatu hakuna utekelezaji

Quote Reply
Report
[IMG alt="TANESCO"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/234/234647.jpg?1408704674[/IMG]

TANESCO

Verified Member​

✅
Jul 8, 2021

Ahsante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidi.

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Ndokeji"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/45/45716.jpg?1328098654[/IMG]

Ndokeji

JF-Expert Member​

Jul 9, 2021
Tanesco mmekuwa shirika la ovyo kabisa ,waongo ,mnaweka nguzo Mwezi mzima hakuna umeme kila siku nawapa taarifa Magunzo yamekuwa kama Mapambo sisi tukuishi gizani
Hapo nyakato Mwanza wamewashinda ovyo kabisa ,bora msingetuwekea hayo Manguzo tukaendelea kutumia solar zetu

Quote Reply
Report
[IMG alt="TANESCO"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/234/234647.jpg?1408704674[/IMG]

TANESCO

Verified Member​

✅
Jul 9, 2021

Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Ndokeji"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/45/45716.jpg?1328098654[/IMG]

Ndokeji

JF-Expert Member​

Jul 9, 2021
Nimeriport mara nyingi hakuna hatua yoyote mnayachukua, Taarifa mnazo angalieni conversation nyingi nimewaelekeza lakini mnatufanyia unyama

Quote Reply
Report
[IMG alt="TANESCO"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/234/234647.jpg?1408704674[/IMG]

TANESCO

Verified Member​

✅
Jul 9, 2021

Tafadhali onyesha taarifa kamili kwa hatua zaidi.

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Ndokeji"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/45/45716.jpg?1328098654[/IMG]

Ndokeji

JF-Expert Member​

Jul 9, 2021
Nimeonesha hizi week nzima mnajibu tutafatilia mpaka leo, yaani mnakera kama wahadumu wenuJina Mkoa:Mwanza
Jina la wila:Magu
Jina La Mji :Kisesa
Jina la Mtaa:Iseni Bondeni B
Wahusika :Tanesco Nyakato
Mradi wameshafunga nguzo na nyaya week mbili zilizopita
Jina surveyor : Kimei
Phone no:0765167090
Changamoto
Ni eneo ambalo mpaka wananchi tumelalamika ndio likawekewa nguzo na nyaya kwa mda mrefu toka umeme ufungwe mtaa huu 2016
Leo hii wameweka nguzo na nyaya mpaka tunsforma ipo

Shida tunapofatilia tunambia hakuna gari, zipo mbili hazitoshi, surveyor wawili hawatoshi leo hii nawapa taarifa tanesco mtusaidie
Aje surveyor watuwekee umeme ,sasa wameweka nguzo jamani kama mapambo

Ni sehemu kubwa wote hatujawekewe ukifika tu hapa isen Bondeni B kisesa

Muulizeni Huyo surveyor anapajua

Quote Reply
Report
[IMG alt="TANESCO"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/234/234647.jpg?1408704674[/IMG]

TANESCO

Verified Member​

✅
Jul 9, 2021
Geko lolo Ngosha!

Mihayo ya ga Tanesco ya bwobi gete!
 
Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
650
500
Nyie acheni kujionyesha kwamba mnajali sana mbele ya watu ila huduma zetu ni hovyo sana.
Kwani mnalipwa mishahara ya kukaa ofisini mkisubiri wateja wawajulishe matatizo mnayoyasababisha wenyewe?
Simu zenyewe zikipigwa hazipokelewi,zikipokelewa ufuatiliaji hakuna zero.
Mnakera sana nyie basi tu
Hili shirika linahitaji Mapinduzi ya Hali ya juu ,nafikiri Bado hawajui huduma zao zimepanuka population kubwa ya watu wanahitaji huduma ,lakini wao wamekaa ofisini tu ,naukienda ofisini wanamajibu ya kukatisha tamaa kabisa, Tunakoelekea katika Maendeleo hili shirika linahita mapinduzi Makubwa ya kiuongozi , na wajili vijana wapige kazi, Mambo yakutwambia sisi limebaki gari moja na surveyor moja ni udhaifu wa hali ya juu
 
Unaweza kukalishwa kwenye foleni masaa 2 ila ukifika kuhudumiwa wanatumia sekunde 2 kukwambia kuwa surveyor hayupo,njoo kesho.
Inauma sana
 
Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
650
500
Unaweza kukalishwa kwenye foleni masaa 2 ila ukifika kuhudumiwa wanatumia sekunde 2 kukwambia kuwa surveyor hayupo,njoo kesho.
Inauma sana
Yaani sijawahi kuona huduma mbovu kama hii ,na pengine anakujibu Mara moja tu ,... BADO sasa unabaki unafikiri bado nini sasa? Ukirudi kuuliza unambiwa wewe si nimeshakwambia Bado? Sijui kiburi wanakitoa wapi, Harafu Hakuna hata Monitoring yoyote kutoka ofisi ya waziri kujua status ya Huduma
 
Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
650
500
Hili Swala Maji ni shida sana sijui kwanini serikali inashindwa kuweka vipaumbelee vinavyopunguza ukali wa maisha
 
katu nundu

Member
Nov 26, 2018
73
125
Kwangu Mpaka nimeamua kuweka solar panel wakati linguzo la tanesco liko pembeni yaani nikiamuaka asubuhi natamani walitoe ni kero tupu
Hata Kenyan Power Limited (KPL) nao walikuwa wasumbufu kama TENESCO. Wakenya wengi walijiongeza kutumia masolar panels, KPL walipoona wateja wengi wanahamia kwenye masolar ndo wakaanza kuboresha huduma zao mpaka Leo. Ila shida ya watanzania wengi sijui wanakwama wapi kutumia njia mbadala mbona TENESCO wangenyooka wenyewe.
 
Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
650
500
Hata Kenyan Power Limited (KPL) nao walikuwa wasumbufu kama TENESCO. Wakenya wengi walijiongeza kutumia masolar panels, KPL walipoona wateja wengi wanahamia kwenye masolar ndo wakaanza kuboresha huduma zao mpaka Leo. Ila shida ya watanzania wengi sijui wanakwama wapi kutumia njia mbadala mbona TENESCO wangenyooka wenyewe.
Kwa Huduma ya Tanesco inaanza kuwa Mbovu , na sasa hivi solar panel yameanza kuzagaa na technolojia inavyokwenda kwa speed watu wengi wataanza kutumia solar, Watu wanachoka unapeleka form unapanga foleni, ukienda kuulizia unapewa jibu fupi subili mpaka surveyor aje, ukafatilia unambiwa leo hayupo,ukienda tena mara gari chache suveyor wachache yaani ni chenga hadi kero
 
Mimi naona wanafanya hivo kutengeneza mazingira ya rushwa. Ukiingia kwenye tovuti yao nako vituko tu, yaani wanaweka nambari ya mawasiliano isiofanya kazi. Serekali inapoteza kodi nyingi kwenye huduma ya umeme hata sioni sababu ya kuzuia ushindani na makampuni mengine.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom